The Growing Myth that Christian institutions are benefiting from GOVT subsidies

If they become commercial institutions; they will have to pay tax! and the Govt will earn revenues...isn't that beautiful?
yes it should! but if it fails to reach all the people should the private institutions sit back and only observe and have a nation of illiterates?

They are Religious Institutions. They should offer religious education and not to chakachua and offer religion mixed with "their civics".
 
They are Religious Institutions. They should offer religious education and not to chakachua and offer religion mixed with "their civics".
but religious institutions fall under private institutions? ama this is how i know private can be a group of people!
 
It is kind of good question. But how many jails were there before Islam and Christianity came to what we call Tanzania today? Most east Asian countries are largely ethiest, do they have more prisons that we who imported these religions have? do they have more criminals than we do? Do these people who we call clerics really clerics, as in CLERICS?. I doubt that. You will see that very few of them are clerics, wengine ni waganga njaa. They know that majority of Tanzanians are not free from religion and also lack freedom of religion. They capitalise in this. That is why we even have this myth.
si kweli, countries like China and Japan have confucius philosphy (to me is religious) that guides them whereas Japanese philosphy ( the five elements) that also sounds religious ! well i agree with you some clerics are not living accordingly to their vows but there are laws to make them accountable! who to blame if the laws fall under deaf ears of people supervising them?
 
Like you said Cinfucianism is a phylosophy, but be sure that it is not religion. It says nothing about God or any spiritualism, like Christianity, Islam, Sikhism, Judaism and budhism does. You said Confucian teachings and elements sounds like religion, but for sure they are not. In confucian teachings it is basically you and yourself, and how you make yourself good self.

Then we should also have philosophy like that, we will probably be more Tanzanians than christians or muslims. Kama Tanzania kusingekuwa na Uislamu na Ukristo tusingekuwa tunajadili issue hii.
 
issue hapa ni institutions ambazo hata hao wana confucianism wanazo na zinaendeshwa kama zinazoendeshwa na kanisa au misikiti! tembelea ma-temple yao uone! By the way in China kuna dini Buddhism, Taoism, na Confucianism angalia Chinese Religions, Beliefs: Buddhism, Taoism, Confucianism
 
jk ameamsha mzimu wa udini, nakuhakikishia jk wakristo wakiamua kutumia udini huwezi kutawala nchi hii,
 
..MOU ilisainiwa wakati Raisi wa Jamhuri ni Muislamu.

..pia Bakwata walikuwepo, kama observers, wakati wa mchakato na majadiliano kati serikali na mashirika ya Kikristo.

..ninachojiuliza mimi ni kwanini madhehebu ya Kiislamu yasijiunge pamoja na kuandaa MOU baina yao na serikali ili nao waweze kupata msaada?
 
Je kuwepo kwa raisi Muislamu wakati wa Mou, na kuwepo kwa Bakwata ndo kuhalalishe yaliyosainiwa?
Kwani Raisi Muislamu aliyekuwepo ni wa raisi wa waislamu au raisi wa Watanzania wote?. nikukumbushe tu kuwa Mwinyi hakuchaguliwa kuwa raisi wa waislamu au wa Wakristo , bali alichaguliwa kuwa raisi wa wote kwa hiyo alitakiwa aendeshe nchi kwa mujibu wa katiba.

Je kama Bakwata hawakukemea ndo ihalalishe kitendo?, vipi Wawakilishi wa dini nyingine ambao hawakuwepo kabisaa hata katika ushiriki.

Isitoshe tunaelezwa kwamba Bakwata walikuwepo katika hatua za mwanzo lakini wakajitoa, na pia kama ulivyoelezea , kwamba walikuwepo kama observers na si key players katika hiyo MOu, au unalionaje hili?

Mbona raisi huyo huyo alipotaka kuingia OIC alikemewa kwa minajili ya kulinda katiba, lakini critics wakakaa kimya pale aliposaini Mou na kanisa ili kufanya kazi ya kanisa?(rejea kipengele cha serikali kuiombea misaada kanisa kwa nchi za kigeni), je huku hakuvunji katiba ya nchi?
 
Sijui kwa nini watu wanashindwa kujua kuwa taasisi za Elimu na Afya zilizoanzishwa na wakristo hazikuota zenyewe kama mchicha, wala kudondoka kutoka mbinguni kama Manna. Tasisi hizi zimejengwa kwa michango, sadaka na jasho la Wakristo ambao kwa sababu ya kuona mahitaji na kuwa na visoon ya maendeleo walikubali ku-sacrifice luxury za maisha yao na kujifunga mkanda ili kuanzisha huduma hizi kwa ajili waumini wao na jamii kwa ujumla. Pamoja na kwamba Wakristo walikuwa ha haki ya kutumia huduma hizi kwa waumini wao wenyewe lakini kwa kuwa wakristo hususukumwa na upendo wa kumpenda jirani yako kama nafsi yako, hawakuona haja ya kuwabagua Waisilamu katika huduma hizi japo Waisilamu hawakuchangia hata senti moja katika uanzishwaji wa taasisi hizi.

Cha ajabu ni kwamba pamoja na Fadhila na msaada wote huu wanaoupata waisilamu ambao hawakuchangia katika uanzishwaji wa taasisi hizi bado kuna baadhi yao wanaodhania kuwa wanahaki ya kupata free ride katika huduma hizi. Nashangaa sana na mara nyingi najiuliza hii roho ya uvivu wa kufikiri na uchoyo wa namna hii wameitoa wapi! Anyway, Labda haya ni mafundisho ya Marehemu Muha-MAD.

Kinachofanywa na serikali katika ruzuku kwa taasisi za kidini ni halali na ni haki kwa serikali kufanya hivyo kwa sababu taasisi hizi zinahudumia hata wale ambao hawakuwa walengwa wakati wa uanzishaji wa taasisi hizi. Serikali inachofanya ni kuwalipia waisilamu gharama ambazo wakristo wameshazilipa katika uanzishwaji wa taasisi hizi. Hao wanaolalamika sijui wanatumia kigezo gani kulalamika, Kwanini na wao wasianzishe taasisi zao? Wanasubiri nini mpaka sasa?
 
Hili si kweli tasisi nyingi zimerudishwa zikiwa choka mbaya! angalia Bugando na KCMC walikuwa na nia ya kuzifanya vyuo tangu miaka hiyo ya 70 lakini hili limewezekana miaka ya 90-00, sasa unaposema serikali iliwezesha kirasilimali nashindwa kukuelewa mbona hawakuzipanua? nachoweza kukupali labda nguvu kazi ambapo ni wajibu wa serikali kwanza ikishirikiana na taasisi binafsi ambazo hulazimika ku-fill the gap!
Si kweli tena kama hizo KCMC na Bugando ndiyo mimi ninazifahamu hazikuwa choka na hivyo vyuo unaVYOSEMA VILIKUWEPO BALI WALICHOFANYA NI KUBADILISHA STATUS KUTOKA VYUO VINAVYOTOA DIPLOMA NA ADVANCE DIPLOMA NA KUONGEZA UTOWAJI WA DIGRII KWA KUVIFANYA VYUO VIKUU.Tafadhali nieleze wakati hizo taasisi zinataifishwa zilikuwaje na wakati zinarejeshwa zilikuwaje kwa upande wa majengo na vitendea kazi?Labda tuanzie hapo?Kama kupanua na uwezeshwaji zaidi wa kimaendeleo baada ya kuwa tayari vyuo vikuu naweza kubali lkn hili halifanyi ukweli wa kwamba wakati wanavibadilisha kuwa vyuo vikuu walitumia kilekile kilichowekezwa na serikali na si zaidi.
 
Sijui kwa nini watu wanashindwa kujua kuwa taasisi za Elimu na Afya zilizoanzishwa na wakristo hazikuota zenyewe kama mchicha, wala kudondoka kutoka mbinguni kama Manna. Tasisi hizi zimejengwa kwa michango, sadaka na jasho la Wakristo ambao kwa sababu ya kuona mahitaji na kuwa na visoon ya maendeleo walikubali ku-sacrifice luxury za maisha yao na kujifunga mkanda ili kuanzisha huduma hizi kwa ajili waumini wao na jamii kwa ujumla. Pamoja na kwamba Wakristo walikuwa ha haki ya kutumia huduma hizi kwa waumini wao wenyewe lakini kwa kuwa wakristo hususukumwa na upendo wa kumpenda jirani yako kama nafsi yako, hawakuona haja ya kuwabagua Waisilamu katika huduma hizi japo Waisilamu hawakuchangia hata senti moja katika uanzishwaji wa taasisi hizi.

Cha ajabu ni kwamba pamoja na Fadhila na msaada wote huu wanaoupata waisilamu ambao hawakuchangia katika uanzishwaji wa taasisi hizi bado kuna baadhi yao wanaodhania kuwa wanahaki ya kupata free ride katika huduma hizi. Nashangaa sana na mara nyingi najiuliza hii roho ya uvivu wa kufikiri na uchoyo wa namna hii wameitoa wapi! Anyway, Labda haya ni mafundisho ya Marehemu Muha-MAD.

Kinachofanywa na serikali katika ruzuku kwa taasisi za kidini ni halali na ni haki kwa serikali kufanya hivyo kwa sababu taasisi hizi zinahudumia hata wale ambao hawakuwa walengwa wakati wa uanzishaji wa taasisi hizi. Serikali inachofanya ni kuwalipia waisilamu gharama ambazo wakristo wameshazilipa katika uanzishwaji wa taasisi hizi. Hao wanaolalamika sijui wanatumia kigezo gani kulalamika, Kwanini na wao wasianzishe taasisi zao? Wanasubiri nini mpaka sasa?
Hakuna uhalali wowote wa serikali kusaidia hizi taasisi kama vitega uchumi vyake vinaendeshwa kibiashara kwa mantiki wananchi wanalipia huduma kwa malipo kamili,Bali kama wananchi hawalipi au wanapunguziwa gharama ktk huduma zinazotolewa basi si vibaya serikali kuzisaidia kwani zinasaidia wananchi wake.Lingine ambalo unalifumbia macho ni kwamba hizi taasisi kipindi fulani zilikuwa ni mali ya taifa kama zilivyo nyumba za msajili baada ya azimio la arusha urudishwaji wa hizi taasisi kwa matakwa ya mtu mmoja yaani Mh. Raisi Mstaafu haikuwa sahihi kama uuzwaji holela wa mali za umma.Kwa zile ambazo taasisi za dini walizijenga na hazijawahi kuwa mali za umma ni halali yao na hilo halipingiki wanaweza fanya lolote watakalo kwani ni mali zao na zile ambazo serikali iliwahi kuwekeza ktk hicho kipindi ni aidha wangezirudisha kwa ridhaa ya wananchi au kwa kulipwa fidia au kwa wao mashirika ya dini kulipa fidia kiasi fulani kwa watanzania kwa kile walichowekeza kupitia kodi kipindi kile mali hizo zilipokuwa zinaitikadiwa kuwa ni za umma wa Watanzania.
 
Samahani, Naomba kuuliza kufahamishwa, je waislamu taasisi zao za huduma kama hospitali zipo wapi? maana mi nikizunguka huko vijijini nakutana na taasisi za Kanisa ambazo zipo remote areas kiasi kwamba bila hizo taasisi watanzania wasingepata huduma. Lingine ukikuta kanisa unakuta na dispensari, je miskiti mingapi nchi yetu utakuata dispensari jirani?
Samahani wanaJF.
 
Wao ni Madrasa tu na misikiti...............ukienda sehemu kama.............
Liuli................kanisa na hospitali
Mango........... kanisa na hospitali
Peramiho................. kanisa na hospitali
Songea ..........kanisa na hospitali
Magagula..........kanisa na hospitali
Lituhi...............kanisa na hospitali
etc ........etc......... Hizo ni baadhi tu ya remote area ambazo bila hao wakristo jamii za huko zingekuwa na taabu saaaaaaaaanaaaaaaa
 
Shule za kikristo especially Catholic(Ukiacha seminary) hazina ubaguzi na mimi ni shahidi nimesoma shule ya kanisa Katoliki yenye wanafunzi na walimu wengi sana wa kiislam na wanafanya vizuri sana darasani na hawabaguliwi. Lakini ukienda shule ya kiislam mara utaambiwa vaa hijabu, funika kichwa nk. Mambo kama hayo yanadisqualify wakristo moja kwa moja kuingia ktk shule hizo.
 
Samahani, Naomba kuuliza kufahamishwa, je waislamu taasisi zao za huduma kama hospitali zipo wapi? maana mi nikizunguka huko vijijini nakutana na taasisi za Kanisa ambazo zipo remote areas kiasi kwamba bila hizo taasisi watanzania wasingepata huduma. Lingine ukikuta kanisa unakuta na dispensari, je miskiti mingapi nchi yetu utakuata dispensari jirani?
Samahani wanaJF.

Health Services zinazotolewa na wakatoliki..........hapo bado wakristo wengine MKOANI RUVUMA

Hospitals

1. St. Joseph’s Hospital, Peramiho
Dispensaries

1.Chipole Dispensary
2.Chitanda Dispensary
3.Mahanje Dispensary
4.Matimira Dispensary
5.Mpitimbi Dispensary
6.Namabengo Dispensary
7.Ligunga Dispensary
8.Mbingamharule Dispensary
9.Mpendangindo Dispensary
10.Nakahuga Dispensary
11.Hanga Dispensary
12.Mtyangimbole Dispensary
13.Chengena Dispensary
14.Morogoro Dispensary
15.Morogoro Litisha Leprosy
16.Ndongosi Dispensary
17.Ifinga Dispensary
18.St. Camillius Dispensary
 
Si kweli tena kama hizo KCMC na Bugando ndiyo mimi ninazifahamu hazikuwa choka na hivyo vyuo unaVYOSEMA VILIKUWEPO BALI WALICHOFANYA NI KUBADILISHA STATUS KUTOKA VYUO VINAVYOTOA DIPLOMA NA ADVANCE DIPLOMA NA KUONGEZA UTOWAJI WA DIGRII KWA KUVIFANYA VYUO VIKUU.Tafadhali nieleze wakati hizo taasisi zinataifishwa zilikuwaje na wakati zinarejeshwa zilikuwaje kwa upande wa majengo na vitendea kazi?Labda tuanzie hapo?Kama kupanua na uwezeshwaji zaidi wa kimaendeleo baada ya kuwa tayari vyuo vikuu naweza kubali lkn hili halifanyi ukweli wa kwamba wakati wanavibadilisha kuwa vyuo vikuu walitumia kilekile kilichowekezwa na serikali na si zaidi.
Acha uvivu tembelea website zake wanaonyesha lini walianzisha huduma za vyuo na ni baada ya kurudishwa hizo hospitali nathani mkuu una tatizo la kutotaka kujua ukweli! nakuelewesha lakini hutaki kudiriki kujua ukweli...na ni kitu kisichopingika huduma zimeboreka zaidi baada ya hospitali hizo kurudishwa chini ya wamiliki wake wa awali na hii inamaanisha labda vingeweza kuwa na uwezo kuchukua watu wengi zaidi kama serikali isingevitaifisha hapo awali ukizingatia muda uliopotea chini ya umiliki wa serikali! Ndio maana TEC wakasaini MOU ikiwa ni njia mojawapo kati ya makubaliano mengine ya kuhakikishiwa hawanyang'anywi tena investments zao!
 
.....Kwa zile ambazo taasisi za dini walizijenga na hazijawahi kuwa mali za umma ni halali yao na hilo halipingiki wanaweza fanya lolote watakalo kwani ni mali zao na zile ambazo serikali iliwahi kuwekeza ktk hicho kipindi ni aidha wangezirudisha kwa ridhaa ya wananchi au kwa kulipwa fidia au kwa wao mashirika ya dini kulipa fidia kiasi fulani kwa watanzania kwa kile walichowekeza kupitia kodi kipindi kile mali hizo zilipokuwa zinaitikadiwa kuwa ni za umma wa Watanzania.
Unachekesha sana, Kwani Serikali walipozipora hizi taasisi kutoka mashirika ya dini waliwashirikisha wananchi katika uporaji huu?
Serikali walipowekeza kwenye mali walizopora walitumwa na nani kufanya hivyo? Unaona ni Halali Serikali kupora Mali za makanisa na watu bila kujali? Ulitaka serikali wazitumie hizi taasis walizopora bila kuingia gharama kuzikarabati? What about depreciation and cost of Usage!! Did the government ever paid any fee using these institutions?
 
Nafikiri waislam wajenge mashule na ma university ili nao wafaidi kama kweli wakristo wanafaidi. cha ajabu ni kwamba, ukienda universities za kikristo, unakuta kuna waislam wamejaa kule, angalia St.augustine ya mwanza, na matawi yake yote, angalia Ruaha ya iringa, angalia Tumaini, bado universities za Arusha kule kibao...waislam wamejaa. lakini ukenda kwenye university ya waislam, ambayo nayo walipata majengo toka kwa selikali kwasababu wao walishindwa kujenga (pamoja na kwamba wakristo hujenga mashule na mahospitali kwa sadaka zao si fungu la selikali), morogoro muslim university hakina wakristo kabisa, ni chuo pure cha waislam, kiasi kwamba hata wakiongea kitu chochote cha waislam kufanya chochote hapa tz watakao jua ni waislam tu...wakiamua kuwafundisha hata ugaidi wanaosoma pale morogoro hakuna atakayejua ile waislam tu kwasababu wanaosoma pale ni waislam tu...chuo cha waislam wanasoma waislam tu, chuo cha wakristo wanasoma wakristo kwa waislam...ULISHASIKIA WAPI CHUO KIKUU KINAITWA Tanzanian Christian university?..hakuna, lakini Tanzania kuna Muslim University...picha gani hii?

angalia hata leo hii, kila siku wakristo wanaanzisha shule, wanaanzia nursery, wanafanya primary, badaye secondary, lakini waislam wamelala tu. watoto wao wenyewe hawasomi...wanawapeleka tu madrassa wanapokuja kuwaunganisha na watoto wetu waliokuwa wanaenda kusoma nursery, wanashindwa mchakamchaka, hivyo wanakuwa wa mwisho tu, wakifika secondary hadi A level wanafaulu wachache mwishoni wanaenda chuo kikuu wachache,...ndio maana utakuwa katika list ya wanaoenda chuo kikuu ni wwakristo wengi kuliko waislam..ajabu ni kwamba waislam wanalaumu wakristo kufaulu,..kumbe sisi hatuna madrassa, watoto wetu tunawapa misingi mizuri ya elimu tangu wakiwa wadogo..wewe unayewpaa watoto wako misingi ya u extremism wa udini tangu wadogo, wanakuwa hawana akili. mashule yote watoto wasio na akili kuliko wote ni waislam...wale wavuta bangi, wanaoiba vitu vya wenzao mabwenini, watoro etc ni wa dini moja (majority yao)..uliza waalimu...ni kwasababu gani? wamejazwa dini isiyookoa, ya adui shetani mwenyewe, na hawawezi kuishi bila kufanya dhambi...
 
We Hute punguza munkari
Soma daily news la Decemba 6 uone viongozi wa kanisa wanavyo dhalilisha watoto,wanawaliwiti hata Papa anajua,ina maana hwawezi kuishi bila kufanya dhambi?

Kwa taarifa yako Waislam wailkuwa mbioni kuanzisha Chuo kikuu pale chan'gombe miaka ya 60,lakini St.Nyerere akawwfanyia hila na kuwazuia.Kuna hujuma nyingi zilifanywa kuwadidimiza waislam kielimu katka nchi hii.Hata chuo kikuu cha DSM kilianzia katika majengo ya Waislam Lumumba amabyo yalikuwa yameandaliwa kwa ajili ya University ya Waislam
 
Back
Top Bottom