The Green River serial killer

Military Genius

JF-Expert Member
Mar 3, 2019
760
1,445
e9fc4a4a446580080e319dddecab604c.jpeg

Serial killer Gary Leon Ridgway alimaarufu kama green river killer, mtu alieua wanawake wasiopungua 49 katika mji Wa Washington kabla hajakamatwa mwaka 2001

MAISHA YAKE

Gary Leon ridgway alizaliwa 18-01-1949 katika mji Wa salt lake huko Utah marekani alikuwa anafanya kazi kwenye gari ya kusambaza rangi takiribani miaka 30. Alianza mauaji ya wanawake mwaka 1982 na kukamatwa 2001. Baada ya vipimo vya DNA kumtambua. Ridgway aliwaambia mapelelezi kuwa ameua wanawake kama 75-80 au zaidi katika barabara ya 99 iliyoko south king huko washington. Alitubu na kupata kifungo cha maisha Mara nne.
MAUAJI YA GREEN RIVER

Ridgway alianza mauaji mwaka 1982, baada ya vijana Wa kike wakukimbia makazi na Malaya kuanza kupotea kwenye barabara ya 99 iliyopo south king huko Washington. Alipeleka wengi wao nyumbani kwake baada ya kuwasulubu na kisha kuwabaka kisha kuwapeleka kwenye msitu na kuwaacha. Alikamatwa baada ya kuanza kutumika teknojia ya viini saba yaani DNA.

HUKUMU YA MAISHA MARA NNE

Ridgway alitakiwa kunyongwa lakini alifanya makubaliano na wapelelezi ili awambie ni wapi alipoficha miili mingine ambayo bado ilikuwa haijawahi kuonekana na pia alikubali kuhusishwa na kesi zitakazotokea na kumhusisha au kuendana na mauaji yake. Na alifungwa mwaka 2003.Pia akawa ndie mtu aliye ua watu wengi kwa makusudi (serial killer) kuliko watu wote katika historia ya marekani
Na mwili mwingine ulipatikana mwaka 2013 na kuhusishwa na Ridgway na kupelekea serikali imuongezee tena kifungo kingine cha maisha jela
.
.
.
MWISHO

@military_Genius
 
View attachment 1327014

Alikuwa kila kosa analoulizwa mahakamani anakubali kwa kujibu GUILTY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom