The Future of Lowassa & Migiro: Utabiri Yakinifu

Kaldinali

JF-Expert Member
May 25, 2012
263
144
Moja:
Ndugu Edward Lowasa alienda nchini Marekani last week akifuatana na mke wake. Hii ni moja ya hatua za kiufundi za kujiandaa na kinyang'anyiro cha Urais. Anaanza kutembea na mke wake in order to look presidential. Pamoja na hayo bwana huyu atakuwa anaanza procedure za kumfundisha kazi za kisiasa na kiutawala mke wake - inawezekana hili linafanyika ili kumuandaa mke wake kugombea ubunge wa Monduli wakati yeye atakapo gombea urais kama mgombea binafsi. Kuna uwezekano mkubwa sana CCM ilipitisha muswada wa kuruhusu wagombea binafsi ili kumruhusu mtu mmoja tu (Edward Lowasa) kugombea Urais. Ama kwahakika huyu bwana ndio anatawala Tanzania.

Mbili: Pia, ijapokuwa mama Asha Migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa moja kati ya haya mawili yatatokea.Either, Mr Mukandara atapewa kazi ya ubalozi na mama Migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha Dar es salamu (muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali atakuwa anatishia malengo fulani ya Kikwete ya kumuachia mtu fulani urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini).

Tatu: Kuna mawaziri na viongozi kadhaa wanaotamani urais amabao watafanya mipango ili wapewe udaktari wa heshima (phd) kabla ya mwaka2015 ili kujiongezea CV na sifa za kugombea urais. Hawa ni wale mawaziri na viongozi wanaopenda kupanda chati na ngazi kiujanja ujanja kama Ndugu Nyalandu nk.

Nne: Kwa jinsi binadamu walivyo na tama na wasivyorizika,ndugu Gharib Bilali atachukua fomu za kugombea urais wa muungano na most likely atamuomba Migiro au Tibaijuka wawe wagombea wenza wake. Eti Nchimbi Na January naopia wanaufikiria Urais- binadamu bwana!

Huu ni utabiri tu: Nawakilisha

UPDATE - FEBRUARY 18, 2013


Hatimae utabiri umetimia. Asha Migiro Amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria na uenyekiti wa organization ya CCM (anasogezwa ikulu) na Mwanaidi Maajar amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo cha diplomasia




UPDATED - DECEMBER 3, 2013

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.

Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.

Dr. Asha-Rose Migiro ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa katika Chama cha Mapinduzi.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

3 Desemba, 2013
 
Moja:
Ndugu Edward Lowasa alienda nchini Marekani last week akifuatana na mke wake. Hii ni moja ya hatua za kiufundi za kujiandaa na kinyang’anyiro cha Urais
. Anaanza kutembea na mke wake in order to look presidential. Pamoja na hayo bwana huyu atakuwa anaanza procedure za kumfundisha kazi za kisiasa na kiutawala mke wake - inawezekana hili linafanyika ili kumuandaa mke wake kugombea ubunge wa Monduli wakati yeye atakapo gombea urais kama mgombea binafsi. Kuna uwezekano mkubwa sana CCM ilipitisha muswada wa kuruhusu wagombea binafsi ili kumruhusu mtu mmoja tu (Edward Lowasa) kugombea Urais. Ama kwahakika huyu bwana ndio anatawala Tanzania.

Mbili: Pia, ijapokuwa mama Asha Migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa moja kati ya haya mawili yatatokea.Either, Mr Mukandara atapewa kazi ya ubalozi na mama Migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha Dar es salamu (muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete-siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali atakuwa anatishia malengo fulani ya Kikwete ya kumuachia mtu fulani urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini).

Tatu: Kuna mawaziri na viongozi kadhaa wanaotamani urais amabao watafanya mipango ili wapewe udaktari wa heshima (phd) kabla ya mwaka2015 ili kujiongezea CV na sifa za kugombea urais. Hawa ni wale mawaziri na viongozi wanaopenda kupanda chati na ngazi kiujanja ujanja kama Ndugu Nyalandu nk.

Nne: Kwa jinsi binadamu walivyo na tama na wasivyorizika,ndugu Gharib Bilali atachukua fomu za kugombea urais wa muungano na most likely atamuomba Migiro au Tibaijuka wawe wagombea wenza wake. Eti Nchimbi Na January naopia wanaufikiria Urais- binadamu bwana!

Huu ni utabiri tu: Nawakilisha

bullshit.jpg
 
A fanatic is the person who cannot change his mind and will not change the subject!
 
2015,CCM watapoteza kiti cha Urais na udhibiti wa Bunge. Mengine yanayoendelea ni kujifurahisha tu"
 
July 11, 2013 nilitabiri ijapokuwa mama Asha Migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa moja kati ya haya mawili yatatokea.Either, Mr Mukandara atapewa kazi ya ubalozi na mama Migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha Dar es salamu (muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali atakuwa anatishia malengo fulani ya Kikwete ya kumuachia mtu fulani urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini).

Wote tumeona kuwa mama huyu ameingizwa kwenye Kamati Kuu ya CCM ili kusogezwa karibu na urais- UTABIRI UMETIMIA

Na sasa jambo hilohilo litaenda kufanywa kwa mama Mwanaidi Maajar. Anarudishwa nyumbani ili asogezwe na kiti cha urais kwakuwa anatoka kwenye kundi fulani la watanzania ambalo ndugu Kikwete amekuwa analipendelea sana - muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete.
 
Back
Top Bottom