Vipi ipi bomu kati ya huyu na ile ya " visiwa vya Zimbabwe na Pemba kuunda nchi fulani", huyu wa Uganda tatizo ni lugha, kama angesema kwa Kilugha chetu angesema vizuri.
IDD AMIN alikuwa anajua kuongea kiingereza fasaha na kiswahili pia ambacho siyo fasaha,hii speech inaweza ikawa siyo ya kweli inaweza ikawa ni moja kati ya zile propaganda za nyerere na uingereza kumpaka matope ili aonekane mbaya na kama kweli aliitoa hii speech basi alidhamiria iwe hivyo ili kumtukana malkia na waingereza kwa ujumla mana ukiondoa hiyo alishatumaga barua na arisha rushaga kwenye tv uganda live kuwa anataka kuwapa msaada waingereza wa chakula na hela baada ya kupata majanga huko kwao. Barua hiyo na hayo matangazo kusema kweli yalikuwa ni ya kiingereza fasaha mana kama nilivyoeleza hapo juu idd amin alikuwa anaongea kiingereza vizuri tu na aliishi chini ya waingereza ndani jeshi na aliishi muda mrefu tu ndani ya israeli,alikuwa ana uwezo wa kuongea kiingereza vizuri kushinda wengi wetu hapa mana yeye alikulia tangu mdogo akiongea kiingereza na hii ilikuwa lugha yake ya pili ya tatu ni kiswahili ya kwanza ni ile ya ki kakwa language.Alikulia ndani ya kampala ambapo watu wote wanaongea english tangu akiwa na miaka minne,baba yake aathiri ya kinubi yaani wanubi wale walioletwa toka sudan kuja uganda na kenya kama wanajeshi.Na alikuwa ni mwislamu safi kabisa.mengi sana alisingiziwa na mabeberu na wale aliowaua ni sababu walikuwa wametumwa kuja kumuua yeye ndio akawawahi yeye sasa kosa liko wapi ni sawa tu yanayotokea leo syria na libya viongozi wakiua kosa liko wapi sababu mabeberu wanawatumia vibaraka wao ndani ya nchi fulani kumpindua rais wao au hata kumuua sasa rais akistuka na kuwakamata na kuwaonyesha kuwa wamefanya kosa la UHAINI na adhabu yake ni kifo kosa liko wapi hao???
hizo ni propaganda tuuu.MANA UKIANGALIA NI VIZURI NI KAMA VILE NI MSWAHILI ANAYEJIFUNZA KIINGEREZA NA KAMA YAMEWEKWA KIUSANII WA KIBONGO mfano:"But next time I shall make a long call on you to last the whole moon completely"-moon hapa inamaanisha ni mwezi,na kwa kweli ni kwenye kiswahili peke yake ambapo jina la mwezi wa angani na mwezi wa siku yaani(january-december) una jina moja lenye kumaanisha maana mbili tofauti(homonymy),kwa hiyo hapa utaona kabisa kulikuwa na Genius wa sanaa ya kiswahili akicheza na maneno tu!!!.sehemu nyingine alikuwa tu anacheza na sanaa ya kiingereza kwa kuyatumia vibaya maana ya maneno ya kiingereza.

Mkuu, nimeipenda hiyo homonym ulivyoielezea. Hata hivyo mimi nilikuwa na rafiki yangu pale Katwe naye alikuwa anachanga kati ya moon na month! Yeye ni Mnyankole!moon completely"-moon hapa inamaanisha ni mwezi,na kwa kweli ni kwenye kiswahili peke yake ambapo jina la mwezi wa angani na mwezi wa siku yaani(january-december) una jina moja lenye kumaanisha maana mbili tofauti(homonymy),kwa hiyo hapa utaona kabisa kulikuwa na Genius wa sanaa ya kiswahili akicheza na maneno tu!!!.sehemu nyingine alikuwa tu anacheza na sanaa ya kiingereza kwa kuyatumia vibaya maana ya maneno ya kiingereza.
Kuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba hiyo speech ni ya uongo. Taarifa za uhakika kabisa, zinasema Idd Amini alikuwa anaweza kuongea kiingereza, Kiswahili na Kiarabu kwa ufasaha kabisa. Inashangaza kuleta hizi propaganda za Mr Queen Sir.IDD AMIN alikuwa anajua kuongea kiingereza fasaha na kiswahili pia ambacho siyo fasaha,hii speech inaweza ikawa siyo ya kweli inaweza ikawa ni moja kati ya zile propaganda za nyerere na uingereza kumpaka matope ili aonekane mbaya na kama kweli aliitoa hii speech basi alidhamiria iwe hivyo ili kumtukana malkia na waingereza kwa ujumla mana ukiondoa hiyo alishatumaga barua na arisha rushaga kwenye tv uganda live kuwa anataka kuwapa msaada waingereza wa chakula na hela baada ya kupata majanga huko kwao. Barua hiyo na hayo matangazo kusema kweli yalikuwa ni ya kiingereza fasaha mana kama nilivyoeleza hapo juu idd amin alikuwa anaongea kiingereza vizuri tu na aliishi chini ya waingereza ndani jeshi na aliishi muda mrefu tu ndani ya israeli,alikuwa ana uwezo wa kuongea kiingereza vizuri kushinda wengi wetu hapa mana yeye alikulia tangu mdogo akiongea kiingereza na hii ilikuwa lugha yake ya pili ya tatu ni kiswahili ya kwanza ni ile ya ki kakwa language.Alikulia ndani ya kampala ambapo watu wote wanaongea english tangu akiwa na miaka minne,baba yake aathiri ya kinubi yaani wanubi wale walioletwa toka sudan kuja uganda na kenya kama wanajeshi.Na alikuwa ni mwislamu safi kabisa.mengi sana alisingiziwa na mabeberu na wale aliowaua ni sababu walikuwa wametumwa kuja kumuua yeye ndio akawawahi yeye sasa kosa liko wapi ni sawa tu yanayotokea leo syria na libya viongozi wakiua kosa liko wapi sababu mabeberu wanawatumia vibaraka wao ndani ya nchi fulani kumpindua rais wao au hata kumuua sasa rais akistuka na kuwakamata na kuwaonyesha kuwa wamefanya kosa la UHAINI na adhabu yake ni kifo kosa liko wapi hao???
hizo ni propaganda tuuu.MANA UKIANGALIA NI VIZURI NI KAMA VILE NI MSWAHILI ANAYEJIFUNZA KIINGEREZA NA KAMA YAMEWEKWA KIUSANII WA KIBONGO mfano:"But next time I shall make a long call on you to last the whole moon completely"-moon hapa inamaanisha ni mwezi,na kwa kweli ni kwenye kiswahili peke yake ambapo jina la mwezi wa angani na mwezi wa siku yaani(january-december) una jina moja lenye kumaanisha maana mbili tofauti(homonymy),kwa hiyo hapa utaona kabisa kulikuwa na Genius wa sanaa ya kiswahili akicheza na maneno tu!!!.sehemu nyingine alikuwa tu anacheza na sanaa ya kiingereza kwa kuyatumia vibaya maana ya maneno ya kiingereza.
When going through the post by Emmah Wanzalah [ Africa and Friends of Africa] on facebook i came across this and i was speechless!!! Hivi ni kweli huyu jamaa alikuwa mtupu hivi???
Thefunniest speech ever from an African President
IDDI AMIN DADA SPEECH AT A FORUM HOSTED BY HER MAJESTY THE QUEEN OF ENGLAND:
'My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament,invented Guests, ladies under gentlemen, before I undress you, let us open thewindows for the climate to come inside!
I hereby thank you completely .. Mr. Queen, sir; and also what he has done forme and my fellow Uganda who come with me.
We have really eaten very much. And we are fed up completely
But before I go back to my country with a plane from the Entebbe airport ofLondon I wish to invitation you Mr. Queen, to become home to Uganda so that wecan also revenge on you.
You will eat a full cow: and also feel up your stomach and walk with difficultbecause of full stomach completely. Even when you want to rest at night; I willmake sure that you sleep on top of me in the top up stairs of my mansioncompletely so that you can enjoy all the gravity of fresh air.
'But now am sorry because I have to tell you that I have made a short call onyou only. But next time I shall make a long call on you to last the whole mooncompletely. Thank you very much to allow me to undress you completely beforethese extinguished ladies under gentlemen sir.
Lastly but not list, I ask the band to play our international anthem of therepublic of Uganda and also the British international anthem..Your majesty sir,I thank you from the bottom of my heart and from the bottoms of all the peopleof Uganda.
With this few words I thank you Sir.