The funniest speech ever from an African President!!

If you will pay a visit to Makerere Univesrity police station, there is a plaque with a hundred titles of Idi Amin....His Excellency the Life President of The Republic of Uganda,Field Marshall, Chief of the Armed forces,Lieutenant Governor, Right Honourable, Doctor,Associate Professor, Professor,Chief Executive Mr. Chief Idi Amin Dada, Igweeeee...
 
IDD AMIN alikuwa anajua kuongea kiingereza fasaha na kiswahili pia ambacho siyo fasaha,hii speech inaweza ikawa siyo ya kweli inaweza ikawa ni moja kati ya zile propaganda za nyerere na uingereza kumpaka matope ili aonekane mbaya na kama kweli aliitoa hii speech basi alidhamiria iwe hivyo ili kumtukana malkia na waingereza kwa ujumla mana ukiondoa hiyo alishatumaga barua na arisha rushaga kwenye tv uganda live kuwa anataka kuwapa msaada waingereza wa chakula na hela baada ya kupata majanga huko kwao. Barua hiyo na hayo matangazo kusema kweli yalikuwa ni ya kiingereza fasaha mana kama nilivyoeleza hapo juu idd amin alikuwa anaongea kiingereza vizuri tu na aliishi chini ya waingereza ndani jeshi na aliishi muda mrefu tu ndani ya israeli,alikuwa ana uwezo wa kuongea kiingereza vizuri kushinda wengi wetu hapa mana yeye alikulia tangu mdogo akiongea kiingereza na hii ilikuwa lugha yake ya pili ya tatu ni kiswahili ya kwanza ni ile ya ki kakwa language.Alikulia ndani ya kampala ambapo watu wote wanaongea english tangu akiwa na miaka minne,baba yake aathiri ya kinubi yaani wanubi wale walioletwa toka sudan kuja uganda na kenya kama wanajeshi.Na alikuwa ni mwislamu safi kabisa.mengi sana alisingiziwa na mabeberu na wale aliowaua ni sababu walikuwa wametumwa kuja kumuua yeye ndio akawawahi yeye sasa kosa liko wapi ni sawa tu yanayotokea leo syria na libya viongozi wakiua kosa liko wapi sababu mabeberu wanawatumia vibaraka wao ndani ya nchi fulani kumpindua rais wao au hata kumuua sasa rais akistuka na kuwakamata na kuwaonyesha kuwa wamefanya kosa la UHAINI na adhabu yake ni kifo kosa liko wapi hao???

hizo ni propaganda tuuu.MANA UKIANGALIA NI VIZURI NI KAMA VILE NI MSWAHILI ANAYEJIFUNZA KIINGEREZA NA KAMA YAMEWEKWA KIUSANII WA KIBONGO mfano:"But next time I shall make a long call on you to last the whole moon completely"-moon hapa inamaanisha ni mwezi,na kwa kweli ni kwenye kiswahili peke yake ambapo jina la mwezi wa angani na mwezi wa siku yaani(january-december) una jina moja lenye kumaanisha maana mbili tofauti(homonymy),kwa hiyo hapa utaona kabisa kulikuwa na Genius wa sanaa ya kiswahili akicheza na maneno tu!!!.sehemu nyingine alikuwa tu anacheza na sanaa ya kiingereza kwa kuyatumia vibaya maana ya maneno ya kiingereza.
Umeona eeh?maaana nilikuwa najiuliza ukiachana na watu wa kabila lake je waganda wengine in general alikuwa anawasiliana nao vp?mtoa mada angepeleka hii post kwenye jokes hapa si pahala pa uzushi na mzaha!
 
Back
Top Bottom