Mkuu wangu mimi pia Mkatoliki lakini nakiri hakuna justification juu ya hili! Tuache kupotosha kwa kutumia maneno Matakatifu ili kujiridhisha.pale Lowasa hakuitwa kuinjilisha! Hata Alhaji Mzee Mwinyi alikuwepo! EL amealikwa na Kanisa kutoa mchango (huku wakijua wananchi wako gizani juu ya tuhuma zake!).Huwezi kumuhukumu mtu kwani mwamuzi ni mwenyezi Mungu lakini kinachoshangaza na kutia wasiwasi ni kauli ya Askofu wa Mwanza na EL kuruhusiwa kutumia madhabahu kujisafisha! Kanisa letu limetughafilisha sana tunaofikiri nje ya box! Ingekuwa wanatangaza kama mkutano wa injili then yeyote anakwenda(akiwemo EL) ingekuwa sawa tu lakini huku wanatoa kauli hatujamwalika huku kahudhuria! kweli Kanisa limefikia hapo? EL ni Mtanzania mwenzetu,kiongozi wetu lakini Kanisa kwa hili HALIELEWEKI!Geza,
Lisilowezekana kwa mwanadamu, kwa Mungu linawezekana!.
Mwana wa Adamu Alikuja kwa ajili ya waliopotea na sio kwa ajili ya watakatifu!.
Tena akahimiza "wote wenye mizigo waje kwangu nitawapumzisha!"
Wakuu wa kanisa wanapaswa kutenda kama mkuu wao kuwakumbatia wasio wakamilifu ili kuwatakasa!.
Na mwisho nasisitiza, " JIWE WALILOLIKATAA WAASHI LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!".
mzee acha kukurupuka,Yesu alipokuja duniani hakuja kwaajili ya watu wema,bali kwa wenye dhambi ili wapate kutubu.Pia kwa yeyote anayejiona kua hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia Lowasa mawe.Pia kipimo cha dhambi ni Mungua anayejua.Mungu ndiye anayejua kua Lowasa ana dhambi au la.Pia leo hii ukiambiwa Lowasa ana utajiri wa kiasi gani na uko wapi utasemaje?
Mkuu Mende, mimi ni maskini jeuri, Kama nimekataa ajira ya £.4,000 FCO, what for niutafute ud DC wa TZS 2,400,000/= ?!.Huyu mmasai akishika nchi hakika wewe hukosi ukuu wa wilaya take it from me
Huyu mmasai akishika nchi hakika wewe hukosi ukuu wa wilaya take it from me
kaa kimya!unakaa nchi gani kwanza na una umri gani na akili yako ikoje?kama hujui makosa ya huyu mwizi!