[h=3]Lowassa Atembelea Shule ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro[/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] Wanafunzi wa Shule ya Sekindari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's iliopo Mkoani Morogoro wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Mh. Waziri Mkuu Mstaafu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro,Sista Dennis wakati alipofika shuleni hapo na kuzungumza na wanafunzi wa shule hiyo,ambapo aliwataka wanafunzi hao kusoma kwa bidii ili waweze kuwa viongozi wa baadaye.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu mstaafu,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Du pamoja na yote Lowasa kiboko anapokelewa kama Mkuu wa Nchi,watu walisema hapa hajaalikwa lakini kwa huu muonekano siamini kama hakualikwa,nasubiri sasa harambee ya RC huko Kyela,nasikia EL amesema ataenda huko huko kwenye saiti,naam kwa alivyo na roho ya JIWE naamini ataenda na tusubiri,sasa yule askofu aliyesema EL hajaarikwa kesha kuwa muongo lol hata watumishi wa Mungu wanakuwa waongo
Hongera sana Hon. Edward Ngoyai Lowassa. Hakika wewe ni tunu maalum kutoka kwa mwenyezi Mungu tuliyopewa watanzania ili utukomboe. 2015 nina uhakika utaitwa His Excellency, The President Of United Republic Of Tanzania. Watanzania daima tupo pamoja nawe na Mungu akubariki.
ivi lowasa ana kosa gani?? Nani anaweza kuniorodheshea makosa ya lowasa hapa?? Sitanii mimi ni kati ya wanaompenda lowasa (sio chama chake ) lakini kwa utendaji wakenamkubali. Pengine niorodheshewe ufisadi wake humu with evidence otherwise tuache majungu na kuchafuana.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Wanafunzi wa Shule ya Sekindari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's iliopo Mkoani Morogoro wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Mh. Waziri Mkuu Mstaafu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro,Sista Dennis wakati alipofika shuleni hapo na kuzungumza na wanafunzi wa shule hiyo,ambapo aliwataka wanafunzi hao kusoma kwa bidii ili waweze kuwa viongozi wa baadaye.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri Mkuu mstaafu,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
watu hawajui impact ya hizo picha...! we acha tu mawaziri wawili walikuwapo lakini kila mtu anajua kwa uwazi mgeni rasmi hakuwa Mzee mwinyi bali Laingwan mwenyewe! Ebu angalia Mzee Mwinyi anavyomhusudu ze Laingwan mwenyewe! hehehe watu wakae mkao wa kula! And in short the guy stole the show undisputed! halafu angalia Mkuu wa Mkoa alivyompokea alitoka nje ya ofisi kumpokea alipompitia ofisini kwake yaani ni in protocal that is a Presidential treatment! Lowassa amewashika pabaya hawa jamaa! hands down...halafu angalia jinsi Dr Mwakyembe alivyomjeuka Sitta kuhusu kupewa sumu! Kinachofuata hapo ni Sitta kushitakiwa na kunyang'anywa uwaziri! Mzee Mengi ashaiona picha amenyutii kimya kama hakuwa mpambaji wa Wapinga Ufisadi...! Na Ridhiwani naye? heheheh kama amenyeshewa na mvua! Nyie acha hamna wa kumzuia Lowassa CCM!
Kanisa katoliki ni kanisa langu tangu kuzaliwa kwangu.Nimezaliwa na kukulia humo.Ni kanisa thabiti na lisiloteteleka.Lakini,kwa sasa mnaniangusha.Mtamwalikaje fisadi nambari moja nchini Edward Ngoyai Lowassa tena kwenye sherehe ya kumsimika Askofu Saritarius Libena? Hamjui kuwa pesa alizonazo Lowassa ni chafu? Kardinari Pengo umeruhusu jambo hili? Kanisa langu lapoteza dira...
Dawa likataeni kanisa katoliki na usanii wake.liajinasibu kuwa na wanyonge lakini sera yao ni umafia(freemansons)EL ni memba wa makundi hayo hivo ni mwenzao hasa YUDA RUWAICHI ambaye alimwalika kule MWANZA
Hongera sana Hon. Edward Ngoyai Lowassa. Hakika wewe ni tunu maalum kutoka kwa mwenyezi Mungu tuliyopewa watanzania ili utukomboe. 2015 nina uhakika utaitwa His Excellency, The President Of United Republic Of Tanzania. Watanzania daima tupo pamoja nawe na Mungu akubariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.