Kanisa katoliki ni kanisa langu tangu kuzaliwa kwangu.Nimezaliwa na kukulia humo.Ni kanisa thabiti na lisiloteteleka.Lakini,kwa sasa mnaniangusha.Mtamwalikaje fisadi nambari moja nchini Edward Ngoyai Lowassa tena kwenye sherehe ya kumsimika Askofu Saritarius Libena? Hamjui kuwa pesa alizonazo Lowassa ni chafu? Kardinari Pengo umeruhusu jambo hili? Kanisa langu lapoteza dira...
mine below is an old argument lakini there's no harm repeating it here...
ninajua watu lukuki hapa mjini (na wewe unayesoma post hii nimekuhesabu) mishahara yao haizidi hata 1M kwa mwezi na wakati huo huo hawana biashara nyingine yoyote lakini wanasomesha watoto wao feza, etc na wanaishi so lavishly. na wengine huwa wanachanga sana huko huko makanisani kwa hela hizo hizo.
now, can you explain this? if you can, then go after EL and justify the criteria you have used to rank him (in red above)......or else shove it!
kwa vile wewe ni mkristo kama mimi, acha turudi kwenye maandiko matakatifu.
Mathayo 7:3 inasomeka hivi:
"Why do you look at the speck of sawdust in your brother's eye and pay no attention to the plank in your own eye?".
this bible quote is self-explanatory...sina haja ya kufafanua.
kwenye Yohana 8:3-5 kuna swali ameulizwa mwalimu Yesu:
"The teachers of the law and the Pharisees brought in a woman caught in adultery. They made her stand before the group and said to Jesus, 'Teacher, this woman was caught in the act of adultery. In the Law Moses commanded us to stone such women. Now what do you say?'"
embu soma hapa chini mwalimu Yesu alivyotoa jibu kwa swali hilo hapo juu (Yohana 8:7):
......."Let any one of you who is without sin be the first to throw a stone at her."
again, self explnatory.
mimi simtetei EL. lakini pia siyo fair kabisa kwa EL kuhukumiwa na watu ambao wana dhambi sawa na (au hata kumzidi) yeye. only nyerere did it, and rigthly so!