The first underground tennis court in Dubai

The first underground tennis court in Dubai

Wachezaji wa tennis Tz wakienda hapo watapigwa bao hazijawahi tenaaa maana watakuwa wanashangaa samak
 
Ndio akifungua hiyo link atasoma zaidi huko...

Wenzetu wameendelea atii, sisi twawasindikiza tu...

Sie viongizi wetu kazi zao ni kupiga madeal hadi hela zinakosekana zakufanya maendeleo
 
Kuna mahali hapo Dubai kuna jumba lenye theluji ndani kama nchi za baridi...

Humo ndani ukiingia ni kama umeenda Ulaya wakati wa snow maana kumejaa theluji kila mahali na wanamichezo wa kuteleza kwenye barafu utawakuta humo ndani...

Usishangae olympic ikifanyikia dubai
 
Sie viongizi wetu kazi zao ni kupiga madeal hadi hela zinakosekana zakufanya maendeleo

Tanzania tunajivunia kuwa na hoteli ya kwanza katika Afrika yenye vyumba chini ya bahari, dogo hilo?





The Manta Resort in the Island of Pemba (Zanzíbar) opened in early November. The structure is compounded by a three-storey floating hut. Two floors above surface, one beneath it. The water deck houses a lounge and a bathroom. Above it, a top deck is fitted with an open terrace with a king sized bed for guests to indulge in the African sunset.
 
Waarabu wa eneo la UAE wamewazidi waarabu wenzao akili

Hapana, waliambiwa mafuta yanaisha baada ya miaka kadhaa.
Kwa hiyo jengeni sana, hapo wazungu walikuwa wanataka wapate tender za uhakika.
 
Back
Top Bottom