The first underground tennis court in Dubai

The first underground tennis court in Dubai

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1432631379.999535.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432631526.168496.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432631634.050988.jpg
 
Siingii kucheki game bila,mtungi wa gesi na viatu vya kuogelea,incase kimenuka.
 
Nitaangali game zinazochezwa humo kupitia runinga yangu hom
 
Timu pinzani wakifungwa wanapiga nyundo kioo tu!

Hahaha nimecheka sana aisee. Ila hii principle inaapply sana kwenye soccer ukute mashabiki hasa wa nchi za kiarabu. Mtajikuta mnaogelea
 
Kuna mahali hapo Dubai kuna jumba lenye theluji ndani kama nchi za baridi...

Humo ndani ukiingia ni kama umeenda Ulaya wakati wa snow maana kumejaa theluji kila mahali na wanamichezo wa kuteleza kwenye barafu utawakuta humo ndani...
 
Waarabu wa eneo la UAE wamewazidi waarabu wenzao akili
 
Mhhh...hapana aisee.
Nitaangalia nyumbani tu mechi.
 
Kuna mahali hapo Dubai kuna jumba lenye theluji kama nchi za baridi...

Humo ndani ukiingia ni kama umeenda Ulaya wakati wa snow maana kumejaa theluji kila mahali na wanamichezo wa kuteleza kwenye barafu utawakuta humo ndani...

Kwenye muvi gani hiyo?
 
Back
Top Bottom