Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
UPDATE 2:
Dates:
Saasa itakuwa ni kwa siku moja tu: Friday 18th December 2009
Venue:
Golden Tulip Hotel; Masaki; Dar Es Salaam
Participation Fees*:
TZS 50,000
UPDATE 1:
- Nimeambatanisha Concept Paper
- Nimeambatanisha Second Announcement yenye details zote muhimu.
-----------------------------------------------------------
Wazalendo Wenzangu na Wanataaluma;
Kuna maendeleo makubwa ambayo tumefikia katika kuandaa mkutano husika hapo juu.
Kimsingi; Mkutano huu unaandaliwa na:
- Tanzania Professionals Network
- COSTECH
- Convocation of UDSM/OUT
- Government – Active part being Ministry of Foreign Affairs
Tunawakaribisha wote na kuwaomba ushiriki wenu kwa vitendo. Tunahitaji sasa kijipanga na ku-mobilize resources zetu zote tukianzia na akili zetu. Hebu sasa na tuifanye Summit hii iwe ni mwanzo mpya wa fikra za Wanataaluma katika kuchangia Maendeleo ya Nchi.
Tafadhali thibitisha ushiriki wako kupitia barua pepe katika tangazo lililoambatanishwa mapema kadiri inavyowezekana.
Concept Paper itabandikwa mara tu itakapokuwa imekamilika. Unaweza pia ukatuma barua pepe yako na Concept Paper itatumwa kwako.
Wana JF; ule muda wa ile Conference yetu umewadia na maendeleo ni mazuri. Kuna mbadiliko kidogo ya Kimsingi: