The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Thank you my lovely sisHappy Birthday my brother!!!
I wish God bless you…
With all joy and cheers…
May you live a long life…
May you get all good thing in your life…
May you have happy days and nights…
May all your dreams come true…
May all your desires be fulfilled…
May you spreading happiness everywhere…
And
Stay away from every sorrow and grief…
HAPPY BIRTHDAY WITH LOVE :bange:
Mkuu naomba uniletee PK Chewing GumTF
Hongera sana kamanda
Nipo mjini nakutafutia banzoka
:israel::israel::israel:Mhhh...ngoja tu nami ninyamaze.... maana sitaki ugomvi kwenye kandamnasi........
Fidel huyo aliisha shindikana TIP TOP pale wanamjua vizuriMi nitakuwepo na mchemsho utakuwepo kama kawa...lakini kaka Fidel naona anataka kukuingiza sehemu mbaya,hata kama m-metoka mbali lakini haya mambo ya usajili haya, napata kigugumizi kidogo,sipendi ujihusishe.
Mkuu acha leo nisherekee vizuri hii siku hayo mambo utayafukua baadae banaa baada ya sherehe lolUjue TF ulipoongelea swala la mchumba imenikumbusha mbali kidogo..kisa ambacho kilitokea kwenye hii bar ninayokualika leo....ni ile ya ndoa ya siku 3 iliyotokana na kondakta wa daladala kuhusu chenji...sijui unaikumbuka au niimwage kwa ajili ya jamvi...napata shida kigodo!!
Hahaha Mfalme wa Amani noted usikose paree pareeehongera sana....!
grow wise
Mkuu naomba uniletee PK Chewing Gum
:israel::israel::israel:
Fidel huyo aliisha shindikana TIP TOP pale wanamjua vizuri
Mkuu acha leo nisherekee vizuri hii siku hayo mambo utayafukua baadae banaa baada ya sherehe lol
Thank you sweetlady usikose kwenye mnuso basiHappy b'day TF.
May God be with u always.
kamanda kama babu anavyosema "Hodi ya Chooni haiiitikiwi Karibu":happy:
Sizinga CV yangu bado safi bana lolhaya bana..tuko pamoja!!ungeruhusu ningeimwaga hapa.
Sizinga CV yangu bado safi bana lol
Aisee umejuaje mkuu yaani nimemuomba kuonja keki kidogo nimeambiwa nisubiri hadi wageni waalikwa watakapofikayah i can c n realize it..so appreciate dude!! Afrodenz naona kakimbia!!au ndo yuko bize jikoni kuandaa maakuli ya B/day yako??
Mnuso lazma nihudhurie! Nipo madukani nakuangalizia zawadi ya viatu, unajua watoto 18yrz km wewe viatu vyao huwa vinasumbua sana....lol.Thank you sweetlady usikose kwenye mnuso basi
Dah!! Halafu mguu wangu umeongezeka navaa namba 11.Mnuso lazma nihudhurie! Nipo madukani nakuangalizia zawadi ya viatu, unajua watoto 18yrz km wewe viatu vyao huwa vinasumbua sana....lol.
Aisee umejuaje mkuu yaani nimemuomba kuonja keki kidogo nimeambiwa nisubiri hadi wageni waalikwa watakapofika
Oooh!! What a lovely day has been BJ THANK YOU SO MUCH my day is gettin better and better after your invitation mhh can't wait to get there PASTA and PIZZA usisahau halafu leo ndio tuna game na wale wachovu wa Ujerumani ndio raha kabisaMy brother from another mother, A very cheerful birthday to you!..Enjoy life, live your dreams and accomplish your goals!!
Venice is still waiting for you..I will have a birthday treat for you!!..
Be Blessed abundantly!!...Belinda JACOB.
Hahaha Mkuu naona hapo tutakuwa tukigombana na kupigana madongo mimi na wewe hebu njoo huku MNACHESTER UNITED huko Arsenal unafanya nini banaaa lol!!!Hope Mr. The Finest utakuwa big fun of Arsenal, coz mnasherehekea pamoja leo na Cesc Fabregas,lakini yeye ni mdogo sana kwako 1987,just like that...did u knw that?
Pilipili haioni ndani hata zile za kidosi hazioni ndani mkali huyo lol!!!hahaaaa..Duh unalo!!Kumbe Afrodenz mkali hivyo.,sikujua hili,umenitoa tongotongo
Hahaha Mkuu naona hapo tutakuwa tukigombana na kupigana madongo mimi na wewe hebu njoo huku MNACHESTER UNITED huko Arsenal unafanya nini banaaa lol!!!