The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Hahaha!!! Najua utakuwa umezungukwa hapo kama vile MswatiNipo kaunta ya chini na keki ya paja la tetea
Si nilikwambiaHalaf we Fidel bana...vinywaji vyenye lebel nyekundu mbona vimepungua kwenye friji??,sasa hivi ushaanza kuvamia keki na mapaja ya kuku ...lol
Halaf we Fidel bana...vinywaji vyenye lebel nyekundu mbona vimepungua kwenye friji??,sasa hivi ushaanza kuvamia keki na mapaja ya kuku ...lol
Hahaha!!! Najua utakuwa umezungukwa hapo kama vile Mswati
Si nilikwambia
HahahaHahahaha meneja kaenda kufuata depo.
Nashindilia kwanza tumbo.
Papa Fidel mutu ya Faranga munene na munene mutu mukubwa mutu ya maiNagombaniwa kama mpira wa kona alafu hapa wananiita Papaa
Dena banaaHabari yake CR!!!!..................
Dena banaa
Shwari mkuu nashukuru sana umepotea mkuu walau pita maeneo yetu yale uchukue yale mamboHappy birthday kaka:A S-baby:, habari za siku mkuu. Mungu akutangulie katika mipango yako.Love
Hahahaha sijamuonaAmefanyaje tena hivi ulimuona mara mwisho lini vile?? Ukimuona mwambie nimemiss sana
Hahaha
Papa Fidel mutu ya Faranga munene na munene mutu mukubwa mutu ya mai
Hahaha mupe mupe muruke murukeMutu ya watu, Mutu ipo penda watu, mutu isiyo bagua patia yote biere
Hahaha mupe mupe muruke muruke
Hahaha wewe una matatizo sana hebu chungulia kule kwningine utoe mapendekezo yako home boyHahahaha huyu ameishia darasa la 7 mpe maji uhai huyu simujui mruke huyo kaishia form iv mpe maji ya Kilimanjaro
Hahahaha huyu ameishia darasa la 7 mpe maji uhai huyu simujui mruke huyo kaishia form iv mpe maji ya Kilimanjaro
Mkuu mimi form six, nipewe kinywaji gani?...Hahahaha huyu ameishia darasa la 7 mpe maji uhai huyu simujui mruke huyo kaishia form iv mpe maji ya Kilimanjaro
Thanks mkuu karibu sanaHongera sana mpwa kwa kuongeza umri,ntakuja na Dena kny mnuso
Fidel utamuweza wewe lolhili limenichekesha sana,kwa hiyo ni status inadetermine upewe kinywaji gani vinginevyo ni mpe,mruke hahaha
Wewe upewe Fanta PineappleMkuu mimi form six, nipewe kinywaji gani?...
Mh! Haya bana ila afadhali kuliko kupewa maji ya uhai...Thanks mkuu karibu sana
Fidel utamuweza wewe lol
Wewe upewe Fanta Pineapple