The Finest mmmmhhhh

I've got news for you, so you messing round
I've got news for you, no more I gaze, cause
I've got news for you, try to bring me down
I've got news for you, Ho, Ho, Hoaaaaa
:A S 114::A S 114::music::music:
 
HAPPY BIRTHDAY THE FINEST!:wave:
May my wishes mark a new beginning in ur life.😛ray:
May God grant u the desires of ur heart.:rockon:
May every step that u gonna take in ur life,bring success.:clap2:
May u find happiness in everything that u gonna do.:wink2:
May my wishes to you be true.:cheer2:
HAPPY BIRTHDAY!.....:busu
 
jockey emmanuel thank you so much
 
Dah,

Siku ya "Uhuru wa Vyombo vya Habari" imenifanya nichelewe kuamka..

Happy Birthday Kiongozi - Sherehe napendekeza ifanyike pale pembeni ya "Rombo Green View"!
 
Happy b'day, naona umepunguza mwaka mmoja wa kuishi..Uendelee kuwa na furaha katika maisha yako
 
Dah,

Siku ya "Uhuru wa Vyombo vya Habari" imenifanya nichelewe kuamka..

Happy Birthday Kiongozi - Sherehe napendekeza ifanyike pale pembeni ya "Rombo Green View"!
Thanks mkuu, well noted
 
Hahaha lol!!!

nyanyi ndio nini?au we mwenzangu ulimwelewa??manake preta katoka mbio,hataki kujibu. Aaag halaf fidel bana...nimesikia keshaanza kutoa welcome drink kwa kina Asprin, mwanajamiione,firstlady1, CPU na mwenzake bacha, nimesikia Keren na preta wapo kwenye daladala wanakuja!!lol
 
Lol!!Sijui nani aendesha hiyo gari
 
Nipo kaunta ya chini na keki ya paja la tetea

Halaf we Fidel bana...vinywaji vyenye lebel nyekundu mbona vimepungua kwenye friji??,sasa hivi ushaanza kuvamia keki na mapaja ya kuku ...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…