The FALL oF UDSM?

Kwa hiyo na wewe ulikuwa "average performer" mwenye "Ntimanyongo" kwa wale walioingia UDSM (and what the hell is that anyway?)

Mazee vipi ilikuwaje kile kibano mazee...........BTW nilisema wengi.........na sio wote......lol
 
Kutambua vyeti vya diploma inategemea sana level ya syllubus husika ili-cover nini na kw amuda gani..............na ili ujiunge na kozi fulani kuna minimum requirements zake........sio ili mradi inaitwa diploma.............
Hii ina apply kwenye vyuo vingi vya kueleweka.

Diploma ya Imperial College ni "moto"..........pamoja na kutambulika kuwa ni sawa na Bachelor degree.....still watu hujitambilisha kuwa ni holders wa Dip Imperial College...........

Nyumbani enzi zile...........ni waliofaulu tu ndio walikwenda shule za serikali na kujiunga Chuo Kikuu DSM ilikuwa lazima ufaulu A'Level...........average performers (not to disrespect anybody) wengi waliishia Ardhi (ukiondoa Architecture course), Mzumbe, Chuo cha Ushirika nk nk...............kuna watu (average performers) walipitia hizo colleges na wakabadilika kuwa VIPANGA kweli kweli.............LAKINI bado wana aina fulani ya "Ntimanyongo" kwa wale walioingia UDSM na chuo chenyewe...........huu ndio ukweli.

Binafsi sikupata bahati ya kuingia pale UDSM.......lakini ninakiheshimu kile chuo.......nalikuwa najivunia kuwa tuna Chuo maridhawa.....recently kimeanza kuporomoka "quality"...........kwa kweli inasikitisha.......na huu sio wakati wa kukibeza.........ila wanaowajibika nacho inabidi wachukue hatua ili kurudisha hadhi yake............Prof Mukandara unatakiwa ujenge hoja chuo kirudi kwenye hadhi yake

Prof Mukandara

Ni upuuzi kusema eti keki kubwa wanapewa UDOM...............unatakiwa upunguze matumizi ambayo ni un-necessary............hivi ukitumia saloon car (4 cylinders) kile kibao pale Hill kuonyesha kuwa hayo ni makazi yako kitaondolewa?..........au u-VC utakuvuka?....anzisha policy za kubana matumizi by offsetting un-necessary cost kwa mambo muhimu tu..............

Waliokwenda ktk vyuo vengine siyo kwa sababu walifeli, ni kwa sababu kulikuwa hakuna nafasi za kutosha. Tanzania nzima ilikuwa na vyuo vikuu 3 tu!! Shame.
 
Matatizo ya UDSM ni compounded lakini pia siasa ndiyo imeifikisha UDSM pale ilipo, ilipoanza mikakati ya kuongeza rundo la wanafunzi bila kufanya expansion ya any required facilities. Ikaja ishu ya upendeleo kwa wanawake kuleta usawa sort off, let them go hata wasipokidhi requirements.

Pia aina ya walimu wa UDSM walio wengi unakuta hakuwahi kufanyia kazi kile anachofundisha. Mtu mwenye GPA kali basi automatically anabakishwa chuo anaendelea kusoma Masters, then PhD mfululizo baadae anaanza kufundisha. Anafundisha vitu ambavyo hata yeye mwenyewe hazifahamu vizuri hands on challenges zake. Zaidi zaidi ni akademiksi tu.

Kingine pia ni aina ya wanafunzi, wengi wao wakiwa na misingi mibovu. Ufaulu wa kutumia past papers, madesa na wizi wa mitihani. Huwezi kuamini mtu mpaka anafika chuo kikuu anaweza kuwa hajawahi kutumia vitabu ili kuelewa kwa mapana kile anachofundishwa.

Serikali kutokutilia maanani na kuona UDSM is just an expense. Ukiangalia the case mfano ya pale Engineering baada tu ya wajerumani kukata funding, mwishoni miaka ya tisini basi ikawa ndiyo kama mwisho wa kwenda mbele. Serikali haikufanya compensation badala yake ikazidi tu kuongeza wanafunzi.

Ukija kwenye suala zima la research, ntatolea mfano uhandisi. Research nyingi zilitakiwa kuendeshwa na industries kwa sababu is easy kupata funding kama utafiti huo utaisaidia hiyo industry. Lakinni hatuna viwanda na vingi vilivyopo ni magumashi magumashi. Ukienda karibu kila kiwanda kuna matatizo yamekuwapo hapo for ages na yanahitaji utatuzi. Ndiyo maana utakuta nchi kama South Africa iko mbele labla mara 1000 zaidi ya nchi nyingi za kiafrica. Sasa sisi research zetu hata zile za kuboresha majiko ya mkaa tunategemea msaada kutoka SIDA, usaid, VSO etc. Research institutes kama vile TIRDO nadhani ilishajifia nazo ni mwendo huo huo kutegemea misaada.

Kuna ishu ya maslahi duni na hii ndiyo imepelekea walimu wengi kujitumbukiza kwenye politiki. Huwezi amini mpaka mwaka 2000 nadhani maprofesa walikuwa wanalipwa around USD 1000. Motivation pale iko too low.

Ufisadi pia umechangia sana kupoteza muelekeo wa UDSM, Walimu, wafanyakazi wote ni kupiga dili tu kwa kwenda mbele.

All in all UDSM ina historia ya kujivunia na they can turn around in just few years kama kutakuwa na commitment ya kweli kutoka kwa owner, the state na pia appropriate leadership.
 
Waliokwenda ktk vyuo vengine siyo kwa sababu walifeli, ni kwa sababu kulikuwa hakuna nafasi za kutosha. Tanzania nzima ilikuwa na vyuo vikuu 3 tu!! Shame.

hivi kuna mahala nimeandika............"walifeli".....mbona unachukua vitu out of context mazee.........hebu rudia kusoma tena...........
 
Mkandara mwenyewe ndo kakiuaaa kabisaaaa baada ya kuingia madarakani na kuanza kusema "chuo hakihitaji pesa nyingi kiasi hicho" matokeo yake anarudi kule Luhanga alikokuwa anatoka.

Prof Luhanga alikuwa anawaambia serikali kama hakuna pesa naenda kufunga chuo, mbona walikuwa wanatoa. But now, the politics is killing everything. Hakuna mipango ya maana.
 
Mkandara mkandara ndo kaaribu chuo chetu
Watu kama hawa ni wabaya sana

Wakati tuko pale Prof Luhanga alikuwa anaendesha Chuo bila ya kuogopa serikali
sasa hivi wananyimu hela alafu wanakaa kimya

Ni wa kuogopa kama ukoma
 
Naomba niweke sawa uteuzi wa Mkandara na Mstakabari wa UDSM,

Mnamo mwaka 2005 Mkandara kwa kupitia REDET walidesign Slogan ya Hari mpya, Nguvu Mpya na Kasi mpya iliyomuingiza Kikwete madarakani
Baada ya hapo ulipofika mda wa Prof.Luhanga kustaafu Kikwete akatafuta mbinu ya kuumpa nafasi Prof Mkandara ulaji wa kuwa makamu mkuu wa chuo.
Wakaweka mbinu chafu wa kuipa tenda kampuni (nimeisahau) ili itangaze nafasi ya VC na vigezo vigumu.Kipindi hicho mwenyekiti wa UDASA alikuwa ni Prof.Seith Chachage na UDASA nzima waligomea hiyo kampuni na vigezo walivyoweka. Kikwazo kikubwa kwa kikwete ilikuwa ni Chachage kwani alikuwa na msimamo mkali. Ilichukua mda mrefu kutangazwa mpaka Chachage alipofariki.
Baada ya chachage kufariki Kikwete akamuweka Prof.Mkandara kuwa VC. Kwa maana hiyo Prof. Mkandara alipewa UVC kama fadhira kwa kazi aliyoifanya 2005.
Hakuna chochote anachokifanya pale Prof Mkandara zaidi ya ufisadi tu. wamejenga parking kwa sh.milion 500 wakati mabweni ya wanafunzi yamechoka mbaya.
Pia tukumbuke kuwa Mkandara alifanya tafiti mwaka 2005 kuwa kikwete atapata ushindi wa 80%

Mwendelezo wa REDET meuona mwaka huu kupitia Dr.Bana.Pia mshijeshangaa Dr.Bana kuwa the next VC wa UDSM baada ya Prof.Mkandara kustaafu

Mkandara yuko pale kama fadhira tu.

Nawasilisha
 
Unachoshauri ndicho mnachokifanya na kushauriana kukifanya kwenye State Universities zenu huko Marikani?

Companero:

Marekani kuna public schools: State Universities na Community colleges. Vilevile kuna private universities. Mtu anayesoma community colleges anaruhusiwa kuhamisha credits zake na kujiunga na university. Kwa Tanzania mtu amechukua diploma ya engineering ya miaka mitatu kutoka katika chuo cha ufundi lakini hawezi kuhamisha credits zake za masomo. Na matokeo ni kurudia masomo.
 
Kutambua vyeti vya diploma inategemea sana level ya syllubus husika ili-cover nini na kw amuda gani..............na ili ujiunge na kozi fulani kuna minimum requirements zake........sio ili mradi inaitwa diploma.............
Hii ina apply kwenye vyuo vingi vya kueleweka.

Diploma ya Imperial College ni "moto"..........pamoja na kutambulika kuwa ni sawa na Bachelor degree.....still watu hujitambilisha kuwa ni holders wa Dip Imperial College...........

Nyumbani enzi zile...........ni waliofaulu tu ndio walikwenda shule za serikali na kujiunga Chuo Kikuu DSM ilikuwa lazima ufaulu A'Level...........average performers (not to disrespect anybody) wengi waliishia Ardhi (ukiondoa Architecture course), Mzumbe, Chuo cha Ushirika nk nk...............kuna watu (average performers) walipitia hizo colleges na wakabadilika kuwa VIPANGA kweli kweli.............LAKINI bado wana aina fulani ya "Ntimanyongo" kwa wale walioingia UDSM na chuo chenyewe...........huu ndio ukweli.

Binafsi sikupata bahati ya kuingia pale UDSM.......lakini ninakiheshimu kile chuo.......nalikuwa najivunia kuwa tuna Chuo maridhawa.....recently kimeanza kuporomoka "quality"...........kwa kweli inasikitisha.......na huu sio wakati wa kukibeza.........ila wanaowajibika nacho inabidi wachukue hatua ili kurudisha hadhi yake............Prof Mukandara unatakiwa ujenge hoja chuo kirudi kwenye hadhi yake

Prof Mukandara

Ni upuuzi kusema eti keki kubwa wanapewa UDOM...............unatakiwa upunguze matumizi ambayo ni un-necessary............hivi ukitumia saloon car (4 cylinders) kile kibao pale Hill kuonyesha kuwa hayo ni makazi yako kitaondolewa?..........au u-VC utakuvuka?....anzisha policy za kubana matumizi by offsetting un-necessary cost kwa mambo muhimu tu..............

Ogah:

Kusoma ni talent tu. Na mpaka sasa sijaona correlation yoyote ya high school performance iliyowafanya watu wachaguliwe kwenda UDSM na performance zao za kazi. Lakini zipo studies zinazoonyesha high school performance inasababisha waalimu na wanafunzi watumie muda mwingi kujiandaa na mitihani.

Kujiandaa na mitihani na kupata maarifa ni vitu viwili tofauti.
 
jamani tuache u CCMNA u CDM au CUF Hapa, UDSM kwa ubora wa taaluma ndani ya nchi wako vizuri sana kulinganishwa na hao wengine, nawaomba wana Jf wenye mahaba na fani ya Sheria, waangalieni wale State Attorneys, Mahakimu,na hata mawakili walio wengi utaiona tofauti ya dhahiri, perfomance yao ina tofauti sana kitaaluma na ufahamu wa mambo ktk fani hiyo, angalia ofisi ya mwanasheriamkuu wa serikali waajiriwa wengi toka vyuo tofauti na UDSM ni taabu tupu,hali iko hivyo mahakamani pia, kibaya zaidi sasa hata vyeo vinapanda kwa lobbying ktk fani hii na wanaopaa ni hao maamuma ambao ni zao la wanaowateua kwani baadhi yao wana vigezo vya kuhusika na vyuo hivyo. Ktk kudorora kwa UDSM kunawafanya wana Taaluma nao kunyongea kwa kukosa back up stahiki toka kwa mwenye waTZ, nashauri tujitahidi kuwachambua wasomi wa kizazi cha uhuria wa vyuo ndani ya nchi kila wanapoharibu ktk nchi yetu nakuona nivyuo gani wametoke na kwanini wanatofautia na wengine. Anzieni Mahakama ya Tanzania maana kuna kipindi waliajiri sana products za Tumaini,Zanzibar Uni ,SUZA kwa kufuata GPA-wacha ziwasumbue, Samatta na Mwanyika wakasituka lakini ndio hao wanaopaa kimamlaka, nendeni BOT, nendeni Hazina n.k wapo mtawaona wapo tu. Kibaya sasa serikalini siasa za muungano zimeshika kasi ktk kujitwalia ajira za utumishi wa umma, kuna lobbying ya hali ya juu kama kuishiwa ardhi kilimanjaro vile!~!!!!!! Wapi tunaenda na taaluma fukunyuku namna hii????
 
Udsm will never fall

Mkuu kwa mwenedno huu kinaweza kufa kabisa, Chuo (UDSM), sasa hakina msaada wowote kutoka serikalini na mbaya kabisa ni kampeni ya kuwachukua walimu wa UDSM na kuwapeleka UDOM kwa mshahara mkubwa kuliko wa UDSM, kwa mwenendo unavyoenda ni lazima UDSM kitayumba tu
Chuo cha Dododma kipo kisiasa zaidi, na JK anataka akitoka MAdarakani aonekane kaacha kitu, lakini mbaya huwezi kuacha kitu kwa kuuwa kilichopo
 
Ogah:

Kusoma ni talent tu. Na mpaka sasa sijaona correlation yoyote ya high school performance iliyowafanya watu wachaguliwe kwenda UDSM na performance zao za kazi. Lakini zipo studies zinazoonyesha high school performance inasababisha waalimu na wanafunzi watumie muda mwingi kujiandaa na mitihani.

Kujiandaa na mitihani na kupata maarifa ni vitu viwili tofauti.

Na ingenuity ni nini? Kisomo?
 
[QUOTE=Kituko;1308828

Wabongo bana!! kazi kuponda tu, mwanzishaji wa hoja nae kachomoka tu na kuweka hoja zake ambazo bila shaka he/she is very biased to UDSM(u can see the title). I wish angeweka mazungumzo yote ya VC ingesaidia. Nimesoma UD nimesoma europe, ukweli elimu ya TZ kiujumla si mbaya kama watu wanavodhani. Acheni kujikatisha tamaa na wivu. Ukiangalia michango mingi imejaa umbea tu na dharau. Jipime mwenyewe kwanza kabla hujaponda wengine. Nilikuja kushangaa watu wengi(siyo wote) ambao hawakusoma udsm huwa wana hasira sana na udsm na ujitahidi kusambaza habari mbaya tu juu ya udsm. ACHENI WIVU NDUGU.
 
UDSM students ni main mpinzani wa serikali ya ccm sasa naona wameanza kutuonyesha kuwa wao ndo wenye nchi,UDOM ni ccm in nature halafu ni chuo cha kata sio chuo kikuu
 
Kwame Nkrumah;1307506]Uliza kingine, lakini jamaa ana machapisho mengi sana, kwenye machapisho ya kimataifa yanayofahamika, go google.[/QUOTE]

Mkuu mbona kwenye google kuna research paper nyingi tu za watu mbalimbali na haimaanishi ni Peer Reviewed Papers Ambazo zina hadhi ya kutambulika kimataifa?. Paper yako iweze kuwa ya mchango na ya kutambulikana kimataifa lazima iwe peer reviewed. Ikiwa na maana Kama Mkandala akiandika paper yake basi inapelekwa kwa watu wanaoaminika ni wataalamu katika eneo aliloandikia paper yake ''Inapelekwa bila kuwepo jina la mwandishi husika'' watu wanatoa comments zao in terms of quality, relevance and appropriateness ya paper yenyewe. Hawa wataalamu wakishaikubali basi ndo inapewa kibali cha kuchapishwa na kuitwa peer reviewed paper jina la mwandishi linawekwa sasa na kuruhusu watu kuweza kutumia hiyo kazi yake au hizo finding zake kuandika au kufanya mwendelezo wa kazi zao.Paper nyingi za hapa kwetu zinapelekwa kwa watu kuwa reviewed wakati mwandishi anajulikana ni Mkandala, kuna kuipinga kweli????. Za hivyo ndo zinaitwa reviewed Article or papers na siyo Peer reviewed. Siyo tu mtu akiandika paper na kuwekwa kwenye net basi ndo useme inatambulika kimataifa hapana.

Note: Siyo kila paper unayokutana nayo kenye net inauthamani wa kutumiwa na mtu katika kufanya mwendelezo wa kazi yake. Ndiyo maana ukienda kwenye google peer reviewed paper nyingi zinauzwa siyo bure mkuu. Mimi kuandika paper yangu na kuileta kwako otowe comment zako na ukiwa unanifahamu na umeikubali nikachapisha haina maana inatambulika kimataifa mkuu.
 
Na ingenuity ni nini? Kisomo?

Kwikwikwi, hapo niko puzzled mkuu. Mtoto wa high school au first year hapa viwanja anaweza kuacha masomo na kuanzisha Microsoft, napter au facebook. Na mtu anaondoka na first class bongo anashindwa kutengeneza spoku ya biskeli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom