The English of President Magufuli of Tanzania

Unatekenywa
Wakosoaji wanajaribu kutafuta sababu but that is too cheap.
Nimefundishwa na prof wa Kikorea English ya kuunga unga sasa unashangaa nini Dr JPM wa science tena anaongea English nzuri tu.
Disgrace unaijua au unaisikia?
Namweleza huyo jamaa ulikuwa unamjibu
 
Wakosoaji wanajaribu kutafuta sababu but that is too cheap.
Nimefundishwa na prof wa Kikorea English ya kuunga unga sasa unashangaa nini Dr JPM wa science tena anaongea English nzuri tu.
Disgrace unaijua au unaisikia?
Namweleza huyo jamaa ulikuwa unamjibu
Nashangaa huyu Rais anafahamu karibu lugha/kabila nyingi za hii nchi japo kwa kusalimia tu, hilo hawalioni kama ni grace lakini sijui (according to wao) wao hicho kiingreZa ambacho si lugha yake inakuwa disgrace.
 
Kweli watu wanadhani kujua lugha ya kingereza ndio ujuvi wa mambo.Hivi nchi zinazo zungumza kingereza kama malawi, zambia etc wametuzidi nini?
Hli ndilo tatizo lenu kubwa kwa msiojua lugha...hata kufuatilia mambo na kuyafahamu kwa usahihi ni shida. Malawi ni mojawapo katika nchi ambazo idadi ya wanaoweza kuongea Kiingereza ni wachache sana, chini ya asilimia 4%! Angalau kwa Tanzania karibia 10% ya watu wake wanaweza kuongea Kiingereza hata kama ni kwa kiwango cha Magufuli.

Barani Afrika nchi ambazo watu wake wanaweza kuongea Kiingereza kwa asilimia zaidi ya 15% ni pamoja na Egypt, Ghana, Botswana, Rwanda, Morocco, Kenya, South Africa, Nigeria, Zimbabwe, Madagascar, Lesotho, Namibia...

Nchi zenye asilimia ndogo, chini ya 4% ni kama Malawi, Gambia na mengine kama hayo.

Nchini China, baada ya miaka mitano itakuwa shida kwa kijana mwenye umri chini ya miaka 40 kupata ajira serikalini mpaka ajue Kiingereza na kwa sababu hii jitihada zinafanywa kuhakikisha kiingereza kinafundishwa toka shule za awali, vidudu.
 
....ifike mahali ukweli usemwe....maana hata JPM falsafa yake ni kuusema ukweli na kuacha unafiki.....Ni kweli JPM kiingereza kinampiga chenga kwa kiwango kikubwa....na mleta mada ana hoja hapa....na kwa kweli ni vema JPM atumie kiswahili popote atakapokuwa anahutubia...hata nje ya nchi..anaweza kumtumia hata mkalimani ataeleweka zaidi...na si aibu kwani marais wengine wanafanya hivyo....na itakuwa njia mojawapo ya kukitangaza kiswahili akifanya hivi...lakini akilazimisha kuongea kiingereza kwa kweli ni aibu...na haitazuia kejeli dhidi yake toka nje.....mleta mada ana hoja ya msingi...
Hatuba mara nyingi inaandikwa sasa atashindwaje hata kusoma acheni hizo bhana.
As far as my understanding is concerns nilivyomsikia akitamka baadhi ya maneno naweza conclude kwamba yuko vizuri tu labda iwe ni suala la Hotuba ambalo with time atakuwa vizuri tu unamlaumu vipi miezi 3 tu mtu ambaye haikuwa kawaida kuhutubia? Ni jambo la ajabu sana yaani unakuta Watanzania wanamlaumu JPM kwa vitu ambavyo kimsingi ni process.
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better.

President Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't appear. He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
Hoja za kijinga kabisa. Tunahitaji agenda za kitaifa, sio ushenzi na utumwa unaotaka kutuaminisha. Mjinga wewe! Wako marais wengi tu wasioongea kiingereza, na wananchi wao wanawakubali. Siku nyingine usipost ujinga kama huu mtumwa wewe!
 
Niko Paris sijui jifaransa na English yangu ya KAWAIDA ila mshahara poa sana tu muhimu elimu english sawa na kifipa
 
Mleta mada utashambuliwa sana na mbulula wa lumumba, kwa ni siri? Everyone was watching. Tulifikiri atajibu tuhuma. Na hapo kumbuka alikuwa na waafrica englishi yao inasikika wazungu ataweza? Huyu ni mtanzania mwenzetu ila hatumsemi vibaya kama kiswahili hajui hajui tu coz kwa cheo cheo chake cha u dr angekuwa na uwezo wa kuongea zaidi ya hapo huu ndo ukweli. Alichokisema mleta uzi ni ushauri tu kuwa atafutiwe koz maalumu itamsaidia maana akienda kwa weupe ni majanga ni hayo tu. Njoo mtoe povu i don't care
Raisi wa Mauritius au Madagascar au wa cape Verde au Mozambique nao wakienda kwa weupe ni majanga? Acheni utumwa wa kipumbavu mnashupalia mambo ya kijinga kabisa. Mnaacha kufikiria maendeleo mnafikiria lugha. You guys need proper schooling
 
Anasemaga:Ze mi ze ok ze you ze good?

Bora aongee ciruga vya kinyarwanda tu.engksh haumtk
 
Ndio tatizo la watanzaniaa wengi hata likisemwa jambo la muhimu basi analileta kwenye ukawa, sasa hapa ukawa wamefuata nini? Ni ukweli uliowazi kwamba raisi wetu kiingeleza chake si kizuri, kama kilivyokuwa kwa mtangulizi wake na hapa ndio uje uone matatizo ya mfumo wa elimu yetu ulivyo mbaya na umekuwa ukiongelewa kwa muda mrefu na wadau ila wahusika wametanguliza sana siasa, cha kushangaza leo mheshimiwa raisi ana digirii tatu za kemia na bado kiingeleza chake hakilingani na elimu aliyonayo, sasa mtoto anayesoma mugabe sekondari akifika chuo kikuu akapata digrii yake moja. Ya ualimu unadhani hali itakuaje? Na bado tunaona hali ilivyo mbaya, matajiri wana shule zao na lugha yao ya kufundishia na masikini wana shule zao na lugha ya kufundishia ndio hapo sasa uone mnyukano,
Watanzania lazima tufike mahali turekebishe hili jambo na kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu hii elimu yetu ambayo haileweki na haya mambo yapo na tuna yashuhudia kwenye vyuo na mashule yetu ni mambo ya kawaida sana hakimu kuandika hukumu kwa kiingereza ambacho hata mtoto wa kidato cha kwanza kenya anamshinda au ni mambo ya kawaida kwamtu kumaliza chuo kikuu hata kuandika CV yake ni utata je tujadili haya mambo ni kwa faida ya nani?
Tumeichezea sana elimu yetu huko nyuma kwa sababu za kibinafsi leo huko tunakotembea kila mtu anajua kwamba watanzania wanaaaleji na kiingeleza hata ukisema umefika hata university bado uaminiki licha ya kwamba tuna lugha yetu ya kiswahili lakini kiingeleza ndio lugha ya kujifunzia na kioo cha dunia na ndio maana mambo mengi tunashindwa hata wachezaji wetu kupata au kuwa na mameneja ambao watawatafutia timu maana wengi wao hawajui lugha sasa huyo meneja mtawasiliana nae vipi? Tumeshikwa pabaya tuamke tuimalishe uwezo wa kujifunza na tusione aibu kujifunza au hata kutumia njia wanazotumia wenzetu ila ukweli unabaki kwamba kiingeleza ni tatizo hapa tanzania kwa aliyesoma na hata hasiyesoma na ndio maana hata kwenye basi ukiongea tu kiingeleza watu wote wanageuka na kuanza kukushangaa. Inasikitisha sana
Elimu tulichezea kisiasa na sasa muda umefika tunatakiwa kuifufua tunasikilizia machungu ya gharama.
Nawasilisha.
HATARI.
 
Mimi sio mnafki na nitasema kweli daima ,Naomba mniombee ,,Magufuli sio tu kwamba lafudhi ndiyo inamsumbua ila ata tenses ni tatizo kwake ,na kusoma science sio excuse ya kutokujua kingereza ,na pia sio dhambi pia yeye kutokujua hicho Kingereza basi ni vyema kuanzia sasa akatumia Kiswahili kama lugha rasmi itatusaidia pia kuikuza lugha yetu
Halafu kwanini watu Beleshi wanaita kijiko ?? Yaani nyeupe kabisa inalazimishwa ni nyeusi

Dr shein amesoma natural science, sikiliza kiingereza chake, sijui jpm hiyo PhD aliifanyaje maana form 4 wa kawaida ni nafuu
 
Nashangaa huyu Rais anafahamu karibu lugha/kabila nyingi za hii nchi japo kwa kusalimia tu, hilo hawalioni kama ni grace lakini sijui (according to wao) wao hicho kiingreZa ambacho si lugha yake inakuwa disgrace.
Wivu tu nafikiri wanatafuta sababu za kumkwamisha au kumfanya sijui adharaulike lakini kwa msomi wa kweli hawezi kujenga hoja ya English kwa nafasi ya Urais iliyojaa wasaidizi wa kila level afterall tumemchagua atusaidie kujibu swali la kwa nini Tanzania ni masikini pamoja na maliasili lukuki tulizo barikiwa na Mungu na jibu lake kimsingi inabidi liwe la Kiswahili ili watanzania wengi kama siyo wote walisikie na kuelewa.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
This debate is closed..... kabisaaa. " We
commandeth all persons, being assembled,
immediately to disperse themselves, and
peaceably to depart to their habitations, or to
their lawful business, upon the pains of kipigo.
 
Is there any law/rule that once you attend those kind of conferences/meeting you must speak english?? cant he speak swahili? if he will speak swahili is there any problem?

You must be stupid upstair my friend!!! cunt
Nafikiri Magufuli angeachana na kuzungumza kiingereza. Sijui kwanini viongozi wetu hawapendi kukitukuza kiswahili? Yaani katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki, halafu lugha ya mkutano ni kiingereza?!? Kwanini kiswahili nacho kisitumike? Kama kiswahili na kiingereza ni lugha za taifa kwa Kenya na Tanzania, inashindikana vipi kuwa hivyo katika jumuiya?

Watu humu wanatolea mifano ya marais ya China, Urusi na nchi zingine ambazo kiingereza siyo lugha ya taifa. Wanasahau kuwa nchi hizo, viongozi wao wanatukuza lugha zao. Wanaweza kuwa wanafahamu namna ya kuzungumza kiingereza kwa ufasaha, lakini wanapendelea kuzungumza kwa lugha zao. Magufuli na viongozi wengine wa Tanzania nao wafanye hivyo. Hili litaepusha mijadala kama hii.
 
Watu Kama wewe mleta mada uko tayari kumsamehe mtu anayemtafuna mkeo kwa sababu tu amekuomba msamaha kiingereza. Watwana hamuishi kwenye jamii ya Kitanzania. Umeshawahi kumsikia Xi Jinping akiongea kiingereza!!??? Umeshawahi kumsikia Francois Hollande akiongea kiingereza!!!??? Umeshawahi kumsikia Putin akiongea Kiingereza!!?? Umeshawahi kumsikia Kim Jong-Un akiongea kiingereza!!!???
Acha utwana Nyamafu wee...
Moja ya kitu kilichonivutia leo ni hili jibu kwa shabiki mtoa mada
 
Raisi wa Mauritius au Madagascar au wa cape Verde au Mozambique nao wakienda kwa weupe ni majanga? Acheni utumwa wa kipumbavu mnashupalia mambo ya kijinga kabisa. Mnaacha kufikiria maendeleo mnafikiria lugha. You guys need proper schooling
mpumbavu ni wewe na ukoo wako ni wewe mbembeleza kuuzakofia za lumumba. Kweli hajui iilikuwa ni aibu ikikuuma kunywa sumu au umsaidie. Eg am a politicians. Chezea weyeee! Here only job hapa kazi tu ahaaaaaaaa mm ni product ya st kayumba
 
Back
Top Bottom