Hapo ndo ujiulize halafu uone ni jinsi gani uko na mentality mbovu. Unsema hujui hiyo phd aliifanyaje? Hapo ndo ujue kwamba lugha sio reflection ya uwezo wa ubongo darasani. Darasani alifaulu vizuri ni kichwa Ndio maana kina elimu hiyo. Mnaongea bila kufikiri sijui kwanini. Huyo ni kichwa. Kwa umri wake bado anakumbuka mpaka definitions za mambo aliyoyasoma form one halafu bado unauliza hujui phd aliifanyaje? Aliyekudanganya kwamba lugha ni indicator ya IQ ni nani? Hivyo vichwa mmepewa lakini hamvitumii kabisaDr shein amesoma natural science, sikiliza kiingereza chake, sijui jpm hiyo PhD aliifanyaje maana form 4 wa kawaida ni nafuu