Kama unakiwanja anza kujenga, hiyo pesa itakapoishia utapumzika uvute nguvu kidogo uanze tena. Lakini ukitaka ushauri wa watu wengi mwishowe watakukatisha tamaa, watakupigia mahesabu ya juu mpaka hiyo pesa utaitumia, uchungu wa kujenga utauhisi unapoanza, na raha yake ni pale inapokua imenyanyuka kidogo, hata pesa ikiisha utafanya juu chini ili umalizie. Kila la kheri mkuu nijambo jema sana umeamua.[/QU thankx all of you
acha kumpotosha mwenzako wewe,,, ni dhambi ya mauti
Wewe unaonekna upo morogoro au mbeya:::
5mil inatosha na chenji inabaki..Tofali za kuchoma moja sh 50/= na chumba kimoja kinachukua matofali 2000,kwahyo vyumba vi3 blocks 6000;::Ukijumlisha matofali 4000 kwa ajili ya sebule na store/kitchen
1.Matofali=500000/=
2.Ufundi hadi juu 400000/=
3.Andaa bati 30:;;450000/=
4.Nondo 10(12mm,10mm);;;170000/=
5.Mifuko ya cement 25:::350000
6.Mchanga Loli 5::::300000
Mpaka hapo ushatumia Apprx:;;2.1mil hiyo chenji utanunulia mbao na Gypsum wiring na kuvutia umeme na chenji inabaki kama upo moro au mbeya ni PM
Mkuu Architect I kno its ur pro lkn kwa sis waswazi kum-hire akitect ni ngumu labda mafisadi,mkuu tembelea morogoro/mbeya uone m2 anajenga nyumba nzuri kwa mil 3.5 Kiwanja sehemu nzuri iliyochangamka unaweza ukapata kwa laki 2,simpotoshi hata kidogo:::Hyo mil 5 akinipa niisimamie namuingizia hadi umeme,yeye ni kuamia tu.Me mwenyewe najenga so I kno everythin kibongo bongo
Kwa mtindo huu na mahesabu haya, kila mtu lazima atajenga wallah!Wewe unaonekna upo morogoro au mbeya:::
5mil inatosha na chenji inabaki..Tofali za kuchoma moja sh 50/= na chumba kimoja kinachukua matofali 2000,kwahyo vyumba vi3 blocks 6000;::Ukijumlisha matofali 4000 kwa ajili ya sebule na store/kitchen
1.Matofali=500000/=
2.Ufundi hadi juu 400000/=
3.Andaa bati 30:;;450000/=
4.Nondo 10(12mm,10mm);;;170000/=
5.Mifuko ya cement 25:::350000
6.Mchanga Loli 5::::300000
Mpaka hapo ushatumia Apprx:;;2.1mil hiyo chenji utanunulia mbao na Gypsum wiring na kuvutia umeme na chenji inabaki kama upo moro au mbeya ni PM
Mkuu Architect I kno its ur pro lkn kwa sis waswazi kum-hire akitect ni ngumu labda mafisadi,mkuu tembelea morogoro/mbeya uone m2 anajenga nyumba nzuri kwa mil 3.5 Kiwanja sehemu nzuri iliyochangamka unaweza ukapata kwa laki 2,simpotoshi hata kidogo:::Hyo mil 5 akinipa niisimamie namuingizia hadi umeme,yeye ni kuamia tu.Me mwenyewe najenga so I kno everythin kibongo bongo
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha
Kama unakiwanja anza kujenga, hiyo pesa itakapoishia utapumzika uvute nguvu kidogo uanze tena. Lakini ukitaka ushauri wa watu wengi mwishowe watakukatisha tamaa, watakupigia mahesabu ya juu mpaka hiyo pesa utaitumia, uchungu wa kujenga utauhisi unapoanza, na raha yake ni pale inapokua imenyanyuka kidogo, hata pesa ikiisha utafanya juu chini ili umalizie. Kila la kheri mkuu nijambo jema sana umeamua.
million 5 seriously kwa residential ya 3 bedrooms, na other facilities like sitting, dining, kitchen,store, baraza, n things like those, 4 sure hata msingi humalizi,, gharama za ujenzi zimepanda sana,,,, unless unaongelea room tatu as rooms kabisa bila chochote cha ziada, mayb 5 million itakupeleka kwenye ringbeam.,, but 4 sure bro, mimi ni mtaalamu wa ujenzi, nakushauri professionally, i have a lot of experience kwenye ujenzi,,, 5 million ni kidogo sana
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha Nyumba nimejenga nimevuta umeme na ndani nilishaingia kwa kiasi ya sh milion 5na nusu!