maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Hii falsafa ndo summury ya utawala wa magufuli na ni chungu sana kwa kuwa haangalii raia wanaumia kiasi gani. Yeye anachoangalia ni je mwisho napata nini kuna faida huko baadae hata wakifa watu yeye kwake ni poa tu.
Tuangalie machache moja wakati bukoba kumetike tetemeko hakutoa hata cent kama serikali mpaka akasubiri msaada wa watanzania na walioguswa na janga lile akapeleka msaada. Huku huku yeye ananunua ndege.
Mbili wakati njaa imekaba kweli na hospitalini akina ma watoto hawana chanjo yeye anaongeza ndege zingine na hela ya advance ya dola mili.224. inatolewa na serikali.
Tatu wakati kuna matatizo chungu nzima katika serikali kama ajira hospitalini akina mama hawana delivery equipment na dawa za chanjo mashuleni wakuu wa shule wanalia ukata mpaka kufanya mitihani mpaka akope steshenary yeye anaweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa reli ya umeme ni hatari iyoje hiyo.
Yaani hayo ni kwa uchache tu mengine mtaongeza tufunge mikanda ndugu zanguni hali ni mbaya sana