Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Pamoja na chuki, usaliti na kuiombea mabaya nchi yetu ikiwa ni pamoja na kuzunguka kwa Muzungu, kuandika barua sijui Jumuiya ya madola, kuiambia Dunia nzima kwamba Tanzania yetu na Raisi wetu ni dikteta lkn kwenye global democracy index 2018 Tanzania yetu ni 91 kati ya nchi 167, Uganda 96; Kenya 98 ingawaje bado tuna kazi kubwa lkn hali siyo mbaya kama Kenya au Uganda, hatuko kwenye kiundi la authoritarian regimes.
Raisi Magufuli mwendo huo huo, tuko sawa kabisa.
Orodha kamili inapatikana hapa; Which is the world's most democratic country?
Raisi Magufuli mwendo huo huo, tuko sawa kabisa.
Orodha kamili inapatikana hapa; Which is the world's most democratic country?