Wana JF, kama thread hii ilivyo, flash yangu haifunguki ila inatoa alert kuwa " The disc in drive D is not formatted, Do you want to format it now? nimestuka kwani najua risk ya kuformat ni kupoteza data zote!Tafadhali wanaJF, naomba mniokoleeni data zangu, nifanyeje?
Nawasilisha.