The different types of women

The different types of women

Hivi kuna wanaume wamesoma hiyo thread apo? kama wewe umeisoma umejisumbua tu!! ni women hao hata ukisoma hawako hivo alaf bado unaeza usiwaelewe then hata icho kidogo ulichokielewa kinaeza kisikusaidie!! Mimi nilivoona heading tu nikaamua nije ni comment huku kwamba "NI WALE WALE TU".
 
...and then, a Real Gentleman, will never let you spend your money when you're with him even if you insist, ndio uzuri wa gents.

Cc atoto
Japo ni kiingereza nimejitahidi nikaelewa maana tokea thread ianze ndio comment ya maana niliyoiona.
 
andika kwa kiswahili we boya acha kujifanya mzungu
 
Hivi kuna wanaume wamesoma hiyo thread apo? kama wewe umeisoma umejisumbua tu!! ni women hao hata ukisoma hawako hivo alaf bado unaeza usiwaelewe then hata icho kidogo ulichokielewa kinaeza kisikusaidie!! Mimi nilivoona heading tu nikaamua nije ni comment huku kwamba "NI WALE WALE TU".

Kwani kuna mwaliko eroo?
 
Thread ya KUFUNGIA mwaka.
Hatimaye kamusi ya kuwaelewa WANAWAKE imepatikana,

JF NOMAAA
 
Back
Top Bottom