The different types of women

Nime scroll up and down natafuta pa kukuweka sipaoni mbona, kila nikijaribu naona vingine napatia, vingine nakosea.

Heaven Sent msaada please!, njoo tucheze bahati nasibu hapa, tukipatia kum match atoto kasema atatupa hela. :D

Hata mimi nimejitafuta sijajipata hapo aisee!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
I love me some Career and Independent women. Doesn't take crap from anyone, and might just walk off on you..

Wacha we, hiyo inaitwa usinisumbue, nina mengi yanayonisumbua, chapa lapa.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nime scroll up and down natafuta pa kukuweka sipaoni mbona, kila nikijaribu naona vingine napatia, vingine nakosea.

Heaven Sent msaada please!, njoo tucheze bahati nasibu hapa, tukipatia kum match atoto kasema atatupa hela. :D
Teh nimemuweka pale kwenye type nanhii, but hafit vizuri hata

Mmh huyo anajuaga tu kupokea
 
Tehe tehe tehe ni hapo holy Jane awe anadondokea kwenye zingine kama nne
 
Na hawa wanaotumia Limbwata wanawekwa kundi gani ?
Kuna mmoja nilikutana naye kidogo niwe kichaa

Natamani tena nikutane na wa aina yake
 
Nimewahi kum-date Holly Jane mmoja mtoto wa mchungaji,

Wewe mfanyie jambo lolote baya ama jema, kwa maksudi au bahati mbaya,

Yeye anakauli mbili tu, 'That's plan of God & It's God's wish'.

Sikuwahi kumuona amekasirika hata kwa sekunde.

Alinichosha sana mwisho wa siku nikaona isiwe shida lakini sidhani kama nitamsahau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom