Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Kazi kuwanga rtu usiku wote huu bado hujalala tu....
Twalinda mali zetu.
Kazi kuwanga rtu usiku wote huu bado hujalala tu....
Wahanga wakubwa wa hii nadharia yako kaka mkubwa nadhani ni wadada...ngoja tuwapishe wajifarague japo kwa uchache tupate kujua ni kwanini hufanya hivyo...
Hujawahi kumkuta mkaka desperate na mwili wake. Utaona huruma. Na shida nyingine ya wakak wanadhani ukivaa mashati makubwa ndo unaficha mwili. Kubanwa ndo mpango mzima mbona?