Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,359
- 111,651
mimi navaa size yangu sihusiki hapa
Na huwa unapendeza kweli besti....maana huwa zinakukaa poa
mimi navaa size yangu sihusiki hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimekuwa nikigombana na mtu fulani kuhusu mwili wake (sio mwana JF lakini, msije kunitia vidole vya macho bure). Kila siku ananilalamikia kwamba ana mwili mkubwa na anatafuta njia ya kuupunguza pasipo kuacha Bieer na nyama choma (Nasisitiza sio mwana JF maana watu hawatakawia kuninanga kwamba namsimanga mwafulani). Lakini mimi sioni kama anao mwili mkubwa, sasa sijui hiyo hofu imetoka wapi.
Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya mtu kuwa mnene na mtu kuvaa nguo zinazombana. Hapo tu ndipo tunashindwa kutofatisha, na matokeo yake tunajikuta tukipata stress ambapo hutusababishia unene kwa sababu ya kula kupita kiasi tofauti na ulaji wetu wa kawaida.
Nimejaribu kuzungumzia jambo hili kwa sababu kuna wadada humu wanadhani ni wanene, kumbe wananunua nguo ambazo ni ndogo kwao halafu wanaanza kupata presha kwamba wamenenepa.
Ujumbe huu ni mahsusi kwa Madame B, Smile, farkhina, Cantalisia, gfsonwin, cacico, MadameX, KOKUTONA, Arabela, BADILI TABIA, miss wa kinyaru, Lady doctor, Passion Lady.....
KOKUTONA hapo kwenye bold una utani na Madame B....?Ha ha ha haa Mtambuzi umenisema mimi kabisaaa.
Yote mawili yanawezekana, either kununua nguo ndogo zikakubana ukasema umenenepa au ukanenepa ukakuta nguo zilizokuwa zinakutosha zinakubana.
Last two weeks nilikuwa napitia kakabiati kangu ka nguo kutafuta nguo ya mtoko, maana long time..
Nusu yake zote zinanibana...hapo siwezi sema ni ndogo,it means nimenenepa na sasa nguo hazinitoshi tena, nikakereka.
So usilaumu sana huyo dada MR Mtambuzi, yote yanawezekana
Hulali...?
Unajua mwenzako niko kwenye kikao mpaka mida hii....
Hapa niko kwenye Tea Break, ndio maana nimpata muda wa kuandika huu u.p.u.u.z.i
Hivi Mtambuzi, na mie ni mnene au nanunua nguo ndogo afu zinanibanaaa, maana hilo dongo ulilolirusha kule juu...sina hamu atii.
Ila for sure Mtambuzi, kuna baadhi ya wadada hujikuta wakinunua nguo ndogo ama zinazowabana almradi tu waonyeshe maumbo yao.
Sasa heri uwe na umbo lenye kueleweka...
Ila ndio hvo, tunapambana na mazingira.
Mpaka umbo lijitengeneze, sio leo hvo bora tulipuke hvohvo, potelea pote.
Inawezekana braza kakuzoesha. Game kuanzia saa mbili mpaka chee, "imekupa ulemavu"!
Mammy hujambo?
Waendeleaje?
Sijambo mdogo wangu kipenzi.
Sasa hivi naendelea vizuri tu, nimeanza dawa mpendwa.
Vipi Kohogwe hawajambo!
Tunafurahi kusikia una recover.
That is good.....huku bomba sana