The Difference between being “FAT” and dressing a size TOO SMALL.....!

The Difference between being “FAT” and dressing a size TOO SMALL.....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
article-0-0BB14647000005DC-955_233x563.jpg

article-1231432-07625941000005DC-53_233x423.jpg

6790904-surpoids-femme-tente-fixez-les-vetements-trop-petits.jpg

too-small-clothes.jpg

overweight-man-trying-to-fasten-too-small-clothes-thumb19292057.jpg

muffin_top_729-420x0.jpg

5042.jpg

black-woman-fat-21.jpg

Nimekuwa nikigombana na mtu fulani kuhusu mwili wake (sio mwana JF lakini, msije kunitia vidole vya macho bure). Kila siku ananilalamikia kwamba ana mwili mkubwa na anatafuta njia ya kuupunguza pasipo kuacha Bieer na nyama choma (Nasisitiza sio mwana JF maana watu hawatakawia kuninanga kwamba namsimanga mwafulani). Lakini mimi sioni kama anao mwili mkubwa, sasa sijui hiyo hofu imetoka wapi.

Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya mtu kuwa mnene na mtu kuvaa nguo zinazombana. Hapo tu ndipo tunashindwa kutofatisha, na matokeo yake tunajikuta tukipata stress ambapo hutusababishia unene kwa sababu ya kula kupita kiasi tofauti na ulaji wetu wa kawaida.

Nimejaribu kuzungumzia jambo hili kwa sababu kuna wadada humu wanadhani ni wanene, kumbe wananunua nguo ambazo ni ndogo kwao halafu wanaanza kupata presha kwamba wamenenepa.

Ujumbe huu ni mahsusi kwa Madame B, Smile, farkhina, Cantalisia, gfsonwin, cacico, MadameX, KOKUTONA, Arabela, BADILI TABIA, miss wa kinyaru, Lady doctor, Passion Lady.....
 
Naona taratibu waanza kunitia vidole vya macho.
Afu tar 28 inakuja...japo nipo kwenye dozi, lakini lazima mita isome namba.
 
Naona taratibu waanza kunitia vidole vya macho.
Afu tar 28 inakuja...japo nipo kwenye dozi, lakini lazima mita isome namba.
Hulali...?

Unajua mwenzako niko kwenye kikao mpaka mida hii....

Hapa niko kwenye Tea Break, ndio maana nimpata muda wa kuandika huu u.p.u.u.z.i
 
Hulali...?

Unajua mwenzako niko kwenye kikao mpaka mida hii....

Hapa niko kwenye Tea Break, ndio maana nimpata muda wa kuandika huu u.p.u.u.z.i

Mie nalalaga?
Afu nipitwe na umbea huko nje!
Ila nina wasiwasi na hyo tea break...hujachepuka kidogo,
Maana hujaenda na Mama Ngina...au Gisele kakava kila idara?
Angalia,bado twazihitaji stori zako ujue.
 
Mie nalalaga?
Afu nipitwe na umbea huko nje!
Ila nina wasiwasi na hyo tea break...hujachepuka kidogo,
Maana hujaenda na Mama Ngina...au Gisele kakava kila idara?
Angalia,bado twazihitaji stori zako ujue.

Mh, naogopa kumzungumzia huyo binti maana kila mtu anataka kujua habari zake, sosoliso alizungumza naye kwenye simu leo mchana, naona tayari binti wa Ki Congoman kamzimikia kijana wa watu....

Nikajisemea moyoni, huyu hamjui Paloma.....

Hebu mie nisije sutwa.....!
 
Last edited by a moderator:

na tutakusuta hadharani.
Unatambua kabisa kuwa sosoliso ni shem wangu kwa Paloma, afu unampa binti mbichi vile...tena nasikia ulimpigia promo kaka wa watu.
Jiangalie wanao akina King'asti watakukosa kweupe mzee wewe.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mtambuzi, na mie ni mnene au nanunua nguo ndogo afu zinanibanaaa, maana hilo dongo ulilolirusha kule juu...sina hamu atii.

Ila for sure Mtambuzi, kuna baadhi ya wadada hujikuta wakinunua nguo ndogo ama zinazowabana almradi tu waonyeshe maumbo yao.
Sasa heri uwe na umbo lenye kueleweka...
Ila ndio hvo, tunapambana na mazingira.
Mpaka umbo lijitengeneze, sio leo hvo bora tulipuke hvohvo, potelea pote.
 
Last edited by a moderator:
na tutakusuta hadharani.
Unatambua kabisa kuwa sosoliso ni shem wangu kwa Paloma, afu unampa binti mbichi vile...tena nasikia ulimpigia promo kaka wa watu.
Jiangalie wanao akina King'asti watakukosa kweupe mzee wewe.
Nimeshawazoea, hata Kaundime alipomteka nyara LiverpoolFC katika mazingira ya kutia shaka pale LEO TUPO HAPA PUB mlinisingizia pia ..............

Jamanie, miye sio KUWADI hamjui kwamba mnanivunjia heshima...?

CC: Paloma, Mentor, Arushaone, Filipo, Preta
 
Last edited by a moderator:
Sasa tufanyaje ikiwa zile size ndogo ndo hua zina nguo nzuri sana na ndo zinazopatikana kiurahc zaidi,wacha tu tuvaage japo tunabanwaga kwel yani vitumbo nje,kwa wale wenye minyama nao yani ni full tafrani,mpaka kuna baadh ya nguo ukivaa inabid usile sana
Ila ivo ivo ndo kwenda na fashion hakuna kuacha michemsho,manyama choma na bia na kuvaa small hatuwez kuacha..
 
Wahanga wakubwa wa hii nadharia yako kaka mkubwa nadhani ni wadada...ngoja tuwapishe wajifarague japo kwa uchache tupate kujua ni kwanini hufanya hivyo...
 
Napenda kuvaa nguo inayoendana na mwili na umbile langu!sio kuvaa kwasababu fulani alivaa akapendeza!ndio maana kuna vyumba vya kujaribishia nguo kama inakutosha,inakupendeza au la!Isitoshe nguo inakupendeza zaidi ikifit mwilini kwamaana kuna baadhi ya maumbile huwezi kuvaa nguo yoyote tu inabidi ujistiri..halafu sio mtu unavaa nguo imekubana hata ukipiga chafya kifungo cha blauzi kinaachia,au kifuani kunakuwa msawajiko kama chapati illsukumwa haaa au ukila inabidi ufungue suruali ...halafu huyo msichana wa mwisho alovaa white alikuwepo kwenye party fulani wa dizain hio tena alikuwa kajazia kuzidi hivo maana mahips yalikuwa na vishimo(cellulites) alichoreka sanaaa nikajiuliza hakujiona,Watu wa karibu yake hawakumuona?bora asingevaa tu hiko kigauni akatembea na hio bikini!
 
Wahanga wakubwa wa hii nadharia yako kaka mkubwa nadhani ni wadada...ngoja tuwapishe wajifarague japo kwa uchache tupate kujua ni kwanini hufanya hivyo...

Kaka mkubwa wapo bhanaa mtu suruali imembana mapaja na makalio halafu nyuma kajaza wallet,cardholder,handkerchief,yaaaani unajiuliza huyu jamaa ni vipi!!!!!

Halafu na hivi vi travota vyao sasa rubber imeisha limebaki bao basi tiles zinakoma ukiangalia heigh ya mtu na kakiatu unajiuliza havimbani hivi????!!!
 
Hahahahah!baba yangu Mtambuzi nimejitambua na mie hua navaa nguo ndogo tu wala sio mnene!
 
Last edited by a moderator:
Mbona umezunguka sana. Ungesema tu Madame B badilisha hiki ama kile.

Out of Topic:

Halafu shem Madame b unasema mpaka saa nane usiku hujalala? Au unaishi chumba kirefu!! maana vijana wa Kino balaa
 
Hahaha Shem platozoom, mie mnene lakini unene wangu ni ule wa majaridani kwa Sani, CC: Smile na Superman.

Shem, korido ndefu, wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka.
Mie mwenzio nina tatizo la kukosa usingizi tangu nasoma.
Hali hii inanitesa sana.
 
Inawezekana braza kakuzoesha. Game kuanzia saa mbili mpaka chee, "imekupa ulemavu"!
 
kweli kabisa,ni vizuri
kila mtu kulijulia umbo lake
na kuvaa nguo zinazoendana!!
mi na madera milele daima !!
 
Back
Top Bottom