KWA NJIA YA FLASH HAIKUBARI JARIBU KWA KU UPDATE TUMIA SDWasalaam,kama kichwa kinavyojieleza.Simu yangu tajwa hapo juu iliandika hiyo meseji na siwezi kufanya chochote.Sasa watalaam hapa naomba msaada wenu kama kuna uwezekano simu hii inaweza kupona au ndiyo habari imekwisha.Nawasilisha kwenu
SD NI MEMORY CARD YA KAWAIDA ANGALIA HIYO SIMU YAKO KM NI Y330-U11 AMA Y330-U05 CHINI YA BETRI KUNA DETAILS ZA SIMU YAKO DOWNLOAD UPDTE AMBAYO ITTAKUWA dload TUMIA MEMORY CARD YA 2GB AU ZAIDI KABLA HUJAWEKA HIYO UPDATE FORMART MEMORY CARD YAKO KWAKUTUMIA CARD READER FILE UKISHA LIWEKA KWENYE MEMORY CARD IWEKE KWENYE SIMU HALAFU BONYEZA POWER NA VOLUME DOWN/UPMkuu hapo bado sijapaelewa,naomba maelezo zaidi maana kwa usawa huu kununua simu mpya ni ngumu sana.
Nashukuru kwa maelezo mazuri,natumai mpaka jumatatu nitakuwa nimefanyia kazi.Kwani nipo mbali kidogo na vitendea kaziSD NI MEMORY CARD YA KAWAIDA ANGALIA HIYO SIMU YAKO KM NI Y330-U11 AMA Y330-U05 CHINI YA BETRI KUNA DETAILS ZA SIMU YAKO DOWNLOAD UPDTE AMBAYO ITTAKUWA dload TUMIA MEMORY CARD YA 2GB AU ZAIDI KABLA HUJAWEKA HIYO UPDATE FORMART MEMORY CARD YAKO KWAKUTUMIA CARD READER FILE UKISHA LIWEKA KWENYE MEMORY CARD IWEKE KWENYE SIMU HALAFU BONYEZA POWER NA VOLUME DOWN/UP
Mkuu hebu leta mrejesho hapa, nimepata tatizo kama hili naomba kujua kama hii mbinu ilifanya kazi.Nashukuru kwa maelezo mazuri,natumai mpaka jumatatu nitakuwa nimefanyia kazi.Kwani nipo mbali kidogo na vitendea kazi