The concept of life

_ Kiimani tunaamini tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, na tunaelezwa jinsi Mungu alivyo pamoja na uwezo alionao.

_ Imani pia inatwambia kwamba lengo kuu ni siku moja kuishi pamoja na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Mungu anataka umuabudu?

Lengo la kuijaza Dunia ni lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ebu zimaaa iyo
 
hiki ni kisubwa au kinyakyusa
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
unamkosoa mtu bila kuangalia bola ukakaa kimya
 
_ Bila kizuizi cha mwili binadamu angeweza kucommunicate na kitu chochote au mtu yeyote aliye popote kwa wakati wowote.
Unavyofikiri angewezaje wezaje ?

Hizi kweli akili za Usiku.
 
Una uthibitisho wowote kuhusu hicho ulichokiandika?
 
Umeandika ujinga hata sikutegemea, hivi huko shule ulikwenda kusoma au kuongeza idadi ya watoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upuuzi punda ww umetumwa nini?

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
 
Morning, Africa,Trust,Respect ,nature ni Kiswahili kumbe!
 
Kwa kipimo gani kuwa tuliowengi hatukuelewa jisemee mwenyewe ili ueleweshwe kutokujua kwako kisiwe kikwazo kwa wengine, jf ni mahala pakujidai sana katka uandishi kwan mtu hatarajii kupewa maksi kama mwanafunzi.
 
Unavyofikiri angewezaje wezaje ?

Hizi kweli akili za Usiku.
Ni ngumu kwa akili kufikiria uwezekano, kwa sababu akili imefungwa na mwili. Uwezekano kwa binadamu maana yake ni kile kitu mwili wake ambao ni primitive unaweza kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndiyo nazidi kujifunza hasa waafrika hupenda kutazama Jambo kwa makini akosoe badala ya kujifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mkuu katika hili lakini kulijua kusudi hasa kiroho huambatana sauti na yule mtu aliyendani yako?. Maana wapo wawili mmoja anatazama yaliyo mema na kukupa moyo mwingine hana maana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…