ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
- Thread starter
-
- #21
Kuna advert ingine inarun huku Kenya. Jamaa amesota hadi anakula Ugali huku akicheki picha ya plate ya kuku Stew.Anaimagine anakula hiyo food iko kwa pichaIkibidi ndio, tena uji usio na sukari! Wakati wa kutafuta kibarua utafanyaje njaa ukiuma na mfukoni hamko safi? LOL!
I totally agree. Need to work on sentences flow though.loving windows 7 and hating windows 8(.1) is a strange phenomenon, and the chief reason for this can be extreme conservatism, dear conservatives be reminded that your lovely windows 7 desktop is also available in windows 8 and its only a click away from the new windows 8's start screen, also If the start screen is the problem then there are alot of simple workarounds to perform the old start menu tasks, and dont forget that there are even third party alternatives.
Dear conservatives just get used to these MINOR alterations, and enjoy the overall user experience.
kwa os 8.1 still ni windows 8 kumbuka xp kuna sp1, sp2, sp3 lakini zilikua sio separate os bali updates tu.
kwa hio jina la os ni 8 na update inaitwa 8.1
Yeah,
But for clarity, if you complain about "Windows 8" while Microsoft has already updated it to "Windows 8.1" the picture you are giving us is that you are complaining about unpatched software, and the problem could very well be that you haven't patched your OS.
So now the question becomes, is this about Windows 8 or 8.1?
yah hapa ni kweli sijajua yeye amemaanisha nini
Me too. Never heard of the word patch. Msybe he can try to expound more to shade some light
parlance tena nayo, ni nini? Use simple laymann languageIn ICT parlance a software patch is an update/ upgrade to address issues (mostly security) or introduce new features.
Just like how one would patch a leaking thatched roof.
parlance tena nayo, ni nini? Use simple laymann language
k, if u insist, ducesThat is simple language.
Perhaps you are not even a layman.
Which could hardly be my problem.
Goodluck mtu nguyani jana tu nimeama toka windogws 7 na sasa niko windows 8......my observations
1)windows 8 kutokana na ugeni(hasa mimi kwa siku ya kwanza kuiona/tumia) itakutoa jasho...ila kadri siku zinavosonga lazima utaizoea na kuipenda pia!!!
2)iko so fast ukilinganisha na windows 7 hasa ultimate.
3)Mwonekano wake unavutia tofauti na windows 7.
Binafsi nimeipenda na iko vizuri...