The commission for mediation and arbitration

The commission for mediation and arbitration

Wana JF naomba msaada mtu anayeifahamu hiyo idara husika hapo juu (THE COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION)

(THE COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION)[/QUOTE]....Ni Taasisi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Taasisi za kazi Namba 7/2004 kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria husika.
Taasisi hii ni idara huru ya Serikali na katika kutekeleza majukumu yake au kazi zake haifungamani au haipo chini ya mwongozo au udhibiti wa mtu au mamlaka yoyote na pia haihusiani na chama chochote cha siasa,chama cha wafanyakazi,shirikisho au jumuiya ya waajiri.

Majukumu ya tume hii ni 1.kusuluhisha mgogoro wowote wa kikazi uliopelekwa kwa mujibu wa Sheria yoyote ya kazi.
2.Kuamua mgogoro wowote uliopelekwa kwake kwa uamuzi kama Sheria ya Kazi inataka mgogoro huo uamuliwe kwa njia ya uamuzi 3.pande katika mgogoro zimekubali mgogoro utatuliwe kwa uamuzi 4.mahakama ya kazi imepeleka mgogoro kwenye tume ili uamuliwe.

hiyo ndio tume kwa ufupi vinginevyo soma: Sheria ya Taasisi za Kazi Na.7 ya mwaka 2004 Kifungu cha 12...
 
(THE COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION)
....Ni Taasisi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Taasisi za kazi Namba 7/2004 kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria husika.
Taasisi hii ni idara huru ya Serikali na katika kutekeleza majukumu yake au kazi zake haifungamani au haipo chini ya mwongozo au udhibiti wa mtu au mamlaka yoyote na pia haihusiani na chama chochote cha siasa,chama cha wafanyakazi,shirikisho au jumuiya ya waajiri.

Majukumu ya tume hii ni 1.kusuluhisha mgogoro wowote wa kikazi uliopelekwa kwa mujibu wa Sheria yoyote ya kazi.
2.Kuamua mgogoro wowote uliopelekwa kwake kwa uamuzi kama Sheria ya Kazi inataka mgogoro huo uamuliwe kwa njia ya uamuzi 3.pande katika mgogoro zimekubali mgogoro utatuliwe kwa uamuzi 4.mahakama ya kazi imepeleka mgogoro kwenye tume ili uamuliwe.

hiyo ndio tume kwa ufupi vinginevyo soma: Sheria ya Taasisi za Kazi Na.7 ya mwaka 2004 Kifungu cha 12...[/QUOTE]

Mishahara yake ipoje mkuu
 
Ahsante sana Msagalam.Mungu akubariki.
 
Soma employment and labor relation act ya mwaka 2004 utapata maelezo ya kutosha.. Au labor institution act ya mwaka huohuo utaiona hyo CMA composition na majukumu yake..... Majukumu ya watendaj wake nk
 
Back
Top Bottom