Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,352
- 3,533
Ooh poor girl! I sympathise with her. Hermaphrodite ni kwamba ana reproductive organs za kiume na kike pia. Mi naona kama wazazi wameona ana uke wakati tangu akiwa mdogo kibinaadam tunamtambua kama mwanamke. Suala la testerone kuzidi na uwepo wa internal male organs za kiume ambazo kwa nje labda hatuzioni naona lisitumike kama kigezo cha kumpokonya uchampion wake. Ila ngojen tusubir hiyo official habar itakakapotoka.
Thanx
Thanx