Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Huyo Demu alikuwa demu wa mshikaji wangu mmoja alikuwa anasoma Jitegemee na alikuwa nakaa maflet ya Bagamoyo Road pale karibu na Ubalozi wa Ufaransa.Mkullo kamputa mshikaji demu hivi hivi tunaangalia, sasa jamaa kuangalia Mkullo anaona kama mshua wake vile, na demu actually alikuwa na age ndogo kuliko mtoto ambaye Mkullo angeweza kumzaa by age 25, which makes him more like his father.Mshikaji alivyoona hivyo akaona si riziki wala nini asije kuniletea maradhi bure, vizee vina mengi hivi.Akamsusia demu, mpaka jina lake ninalo ila nina respect privacy yake tu.
That is Mkullo for you, alipokuwa NSSF alikuwa hatosheki, alikuwa anafanya kila jitihada kwenda Harbours mara BOT, mijicho inamtoka tu kuwania vyeo.Naona sasa kampata muungwana kafurahiii sana.
Kuhusu MBA tafuta CV yake, angalia chuo alichofanyia MBA (Almeida University) halafu ki-google uone wanavyotoa among other things "life experience degree".
Waziri wetu wa Fedha ndiyo kasoma hapo, na watu wakiomba CV yake wataona kapata MBA yake kutoka chuo kinachompa degree hata mbwa!
To me this says more about the character of JK than even of those he appointed. Is he, JK, incompetenct, ignorant, lazy or all of the above? How does he expect to run an efficient govt with incompetent executives? And it is incompetence from wilayani, mikoani, wizarani to the embassies? Well if there are impeachable offences in TZ, JK is clearly accumulating them in a mass.
Hii yote inadhihirisha uwezo mdogo alionao JK, mimi nwashangaa mnaomshangaa mkullo, huyo JK nani alimpa urahisi maana hiyo ndiyo root cause ya yoote haya.
Kwa mwendo huu kutakuwa na maisha bora hapo??????
KJ maneno makubwa hayo, what should be done...sasa!! Kama JK ndo huyo na executives wake....
Mustafa Mkullo ninayemfahum mimi ni kweli ana ACCA, na MBA ya chuo feki.
Baada ya kutoka NPF, akaanzisha ka biashara ka dry cleaner nakumbuka kalikuwa kanaitwa Adam Ribs. Alikopa pesa pale kwenye kabenki ka wahindi opposite na Kitega Uchumi.Akapata tenda nzuri tu ya kuosha mashuka pale Muhimbili, ila biashara ile ikamshinda na tenda akanyanganywa na tena hiyo biashara ikafa. Na mpaka ninavyosema sasa hivi kwa mujibu wa record zangu bado anadaiwa na kale kabenki na wamefanya provision kubwa tu(50%)kwa lugha ya kibenki ni doubtful debt.Ujasiliamali ulimshinda huyu mkuu na ndo maana akakimbilia siasa(ubunge). Ila naona mambo yake si mabaya kwaupande huo.
Huyo Demu alikuwa demu wa mshikaji wangu mmoja alikuwa anasoma Jitegemee na alikuwa nakaa maflet ya Bagamoyo Road pale karibu na Ubalozi wa Ufaransa.Mkullo kamputa mshikaji demu hivi hivi tunaangalia, sasa jamaa kuangalia Mkullo anaona kama mshua wake vile, na demu actually alikuwa na age ndogo kuliko mtoto ambaye Mkullo angeweza kumzaa by age 25, which makes him more like his father.Mshikaji alivyoona hivyo akaona si riziki wala nini asije kuniletea maradhi bure, vizee vina mengi hivi.Akamsusia demu, mpaka jina lake ninalo ila nina respect privacy yake tu.
That is Mkullo for you, alipokuwa NSSF alikuwa hatosheki, alikuwa anafanya kila jitihada kwenda Harbours mara BOT, mijicho inamtoka tu kuwania vyeo.Naona sasa kampata muungwana kafurahiii sana.
Kuhusu MBA tafuta CV yake, angalia chuo alichofanyia MBA (Almeida University) halafu ki-google uone wanavyotoa among other things "life experience degree".
Waziri wetu wa Fedha ndiyo kasoma hapo, na watu wakiomba CV yake wataona kapata MBA yake kutoka chuo kinachompa degree hata mbwa!
There are so many people, even within CCM, who are tired of JK govt. It can as well start from here, collect evidence and create a case and let the wabunges pick the pieces.
You will always Love JF comes We dare Talk Openly,hatufichi habari tunazozipata na tunaweka wazi mambo yote kuhusu mtu yeyote.Jamani AM IN LOOOOOOOVE WITH JF
Chenge out!!
Mkullo, Wakati Umewadia......majeshi songa mbele !!