The Bro Code.

Ex wa rafiki yako ukimpenda hutahook nae wewe!? [emoji2][emoji2]. Si wameshakuwa Exes yanini isiruhusiwe mie sasa?
Aaah mi sipiti nae walah,ntakua namheshim sana kama shemji yangu,hata mi ex wang stak apite na rafik angu
Sijui ntawachukuliaje asee
 
Uweeeee mi rafiki ang akipita na shemj ake wa zaman,urafiki unakufwa,kwanza ntahisi ye ndo chanzo mpka tukabreak
Hahaha sasa kaharibu vipi wakati unakuta wewe mwenyewe uliamua kumuacha bila shauriwa na mtu!.
Me siku zote sipendi fichwa ukimpenda Ex wangu nambie nikupe maujanja!..
 
Hahaha sasa kaharibu vipi wakati unakuta wewe mwenyewe uliamua kumuacha bila shauriwa na mtu!.
Me siku zote sipendi fichwa ukimpenda Ex wangu nambie nikupe maujanja!..
Yan hata kama,na ukiona nlimwacha mwenyew bas ujue kuna vitu alianza kubadilika,na kama alianza kubadilika ndo tukaachana bas wew rafiki angu ndo uliempa kichwa mpaka abadilike,pengine ulianza kunikandia ili uchukue nafasi je
 
hah huko ni kujishtukia tu, lakini ukiona ni kitu cha kawaida mbona inakuwa kawaida.. Mahusiano yana kuanza-kukomaa na kufa sasa yakifa yakaanza kwingine karibu yako ina maana huko ndio mbolea ipo kubwa[emoji2].
hebu cheki kina Jlo, kanye, Tyga wanavyooishi iweje wewe ushindwe Jlo wangu bongo!!..🙂🙂🙂
 
Nasema ole nimkute rafiki anabebika na ex wang,atakiona[emoji109] [emoji123]
 
🙂😱😳😵 Duh! Haya tupe uzoefu wako...
huezi kuwa na mahusiano na alliyekuwa shemeji yako wewe!!?..sheria ya 8 inapingwa na sheria ya 6 au ukitumia sheria ya 15 kuzipinga zote ambayo nayo ni tatizo kwa sheria ya 18!..Damn this book is soo wrong
 
Abadan! Kweli wewe ni indundu...
 
Girls, can be Bros. And it's restricted to f@ck a girl bro!

This is my hardest rule!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…