The Bold: Shukrani Wakuu

Pamoja sana Mkuu wambura marwa! Shukrani..
 
The bold heshima / hakima na maarifa uliyojaliwa hakika yamekuwa sehemu ya maisha yetu ya hapa JF ..

Asante kwa elimu / maarifa bora uliyonipatia na shukrani kwa kujitolea muda wako.
 
tetesi zilizonifikia mezani kwangu kumbe na wewe ni " mwanaidara ". najua idara itakuwa inajivunia uwepo wa vijana " imara " kama wewe. hongera mdogo wangu.
 
Shukraan mkuu [emoji120]
 
Allah awabariki katika safari yenu mlioianzisha isiishie hum tukaona mmeishia kupotezeana niffah The bold
We don't want to have an amazing couple of months and then it be all over in a flash.
We don't want to experience the feelings of hurt,confusion and disappointment.
No matter what we'll run into and no matter how hard things get...we want us to stick together.. FOREVER!

Amen [emoji120]
Thank you Dearest
Insha allah..
Mwenyezi Mungu atuwezeshe tufikie goals!

Shukrani
Amen [emoji120]
 
Awwwwwww my best couple on jf
 
Kwanza una heshima ya kinywa, utapiki takataka ingawa unajua upo nyuma ya keyboard pili booooooonge la mstaarabu nimekupendaje
 
The Bold: hongera kwa kuiwakilisha na kuitendea haki ID yako siyo tu kwa michango ila pia kuthubutu (being bold) kuleta uzi huu.

Baadhi ya mada na michango yako sikuunga mkono lakini hakika umeifahamisha, bila woga, wanaJF unachoamini.

KEEP IT UP in the coming year. Some more contributions are expected of you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…