Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Asante kuni mention topic kwa kweli zimekuwa msaada sana na zakufundisha mengi nilikua sifa hamu hasa intelligence, una hekima na busara ujibuto CHOCHOTE kutoka kwa members. May God bless you always. Endelea kutupa vitu vya nguvuziDivine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope, mamaafacebook II
Hisia zako tu ila hawa ni members ninaowakubali mno aisee wako unique sana kwenye uandishi unaovuta hisia
Wivu huo sasaUmejipaisha tu huna lolote
Acha wivu wa kike mtoto wa kiume weweUmejipaisha tu huna lolote
Big upMungu wangu![emoji87] Am speechless.
Sikuwahi kufikiri kama ipo siku nami nitakuwepo katika list yako ya kukumbukwa!
What a honour?
Asante sana The bold.
Ni kweli kabisa, nakiri tulikuwa maadui wakubwa sana.
Kila tulipokutana ktk threads tuliumana kwelikweli, namshukuru Mungu kwa busara alizokujaalia maana siku zote ulijishusha wewe.
Nakupongeza kwa aina ya makala ulizoamua kuja nazo ndizo zilizonifanya niweke silaha chini na kuomba kuimaliza vita.
Kupitia kwako nimejifunza mengi kubwa zaidi ya yote ni kumheshimu kila mtu.
Nilikuchukia kipindi kile,sikuwahi kufikiri kama una akili kubwa kiasi cha kunifanya nianze kuvutiwa nawe.
Hivi sasa nimebadilika sana,namheshimu kila mtu humu JF,nimeamua kwa nia ya dhati kuachana na vita vya maneno na members humu.
Never say never,nobody knows tomorrow...
Leo hii wewe niliyekuchukia ndiye kitu cha kwanza kunijea ktk akili yangu kila niamkapo.
Lazima nikutafute nikutakie asubuhi njema ndipo mambo mengine yaendelee.
Nakutakia kila la kheri katika makala zako za kusimumua,daima nitakuwa nawe bega kwa bega.
You got my full support my love...
#TheBoldIsMine#
MkuuThe Bold tafadhali niongeze kwenye list yako..nakufuatilia na kukuelewa sana.Divine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope, mamaafacebook II
Huyo nae hajui alisemalo,The bold wa kwenye habari za Mbasha ndio alikuwa anachipukia.
Makala zake zilizokwenda shule ndizo zilizotufanya wengi tumkubali huyu mtu.
Honestly say nilianza kumkubali kwenye Geranimo E.K.I.A
Baada ya hapo akaja kunimaliza kabisa kwenye Mifereji ya dhahabu...pasipo silaha,chuki wala ukatili.
Hapa ndipo safari ilipoanzia [emoji6]
Ila ukiniuliza makala kali kabisa kuwahi kutokea ya The bold ni Geranimo E.K.I.A
Nililia machozi!
MkuWewe ndio wa kule jukwaa la intelijensia unayeshusha hadithi za majasusi??? Kama nimekufanisha sorry ila kama ni wewe nakupongeza sana mkuu
Kakuwahi nini?Kuwa ni mtu mmoja?Oooops!!!Umeniwahi..
Hahhahah! Tutakuripoti Mkuu..Nyuzi zako zilinipa ujasiri wa ajabu na nimefanya matukio mawili tayari successful keep it [HASHTAG]#the[/HASHTAG] bold
Shukrani sana Heaven SentKeep up the good work. Shukrani sana
Hapo mwisho chacha #TheBoldIsmine# Ahsanteeeeeeeeeeeeeee mama.Mungu wangu![emoji87] Am speechless.
Sikuwahi kufikiri kama ipo siku nami nitakuwepo katika list yako ya kukumbukwa!
What a honour?
Asante sana The bold.
Ni kweli kabisa, nakiri tulikuwa maadui wakubwa sana.
Kila tulipokutana ktk threads tuliumana kwelikweli, namshukuru Mungu kwa busara alizokujaalia maana siku zote ulijishusha wewe.
Nakupongeza kwa aina ya makala ulizoamua kuja nazo ndizo zilizonifanya niweke silaha chini na kuomba kuimaliza vita.
Kupitia kwako nimejifunza mengi kubwa zaidi ya yote ni kumheshimu kila mtu.
Nilikuchukia kipindi kile,sikuwahi kufikiri kama una akili kubwa kiasi cha kunifanya nianze kuvutiwa nawe.
Hivi sasa nimebadilika sana,namheshimu kila mtu humu JF,nimeamua kwa nia ya dhati kuachana na vita vya maneno na members humu.
Never say never,nobody knows tomorrow...
Leo hii wewe niliyekuchukia ndiye kitu cha kwanza kunijea ktk akili yangu kila niamkapo.
Lazima nikutafute nikutakie asubuhi njema ndipo mambo mengine yaendelee.
Nakutakia kila la kheri katika makala zako za kusimumua,daima nitakuwa nawe bega kwa bega.
You got my full support my love...
#TheBoldIsMine#
Nasi twakuheshimu mkuu.Tag list' ya The Bold
Kwenye nyuzi zangu zote hawa memba huwa nawamention kwenye post # 2. (Pia nimewamention hapo chini post # 2) Hawa member kwakweli wametisha sana mwaka huu.. Ni wao ndio wananifanya licha ya pilika pilika za maisha, lakini najitahidi nipate muda niandike makala na kuziweka humu! Wananiispire sana, and nawaheshimu sana bcz they got my back.. Salute kwenu wakuu!!