Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,559
Kumbe the BOWSE na Mimi unanijua?Divine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi gambada ynwa adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1
Hahaha! Nakufahamu sana Mkuu..Kumbe the BOWSE na Mimi unanijua?
Nikefurahi saaana. Afu we ni Shemeji yangu kwa da NifahHahaha! Nakufahamu sana Mkuu..
Nini hizo ziko romantic binamu?Ziko romantic sana
Wow! Shukrani sana sista geniveros..Leo sikua na mudi na jf Ila nifah ndo amenifanya niwe active na the bold am happy very happy mpk mchozi wantokaa
Aaaaaaahh hapana Mkuu sio hivyo bhana! Hujaona paragraph ya kwanza kabisa nimeshukuru kila mtu na kudeclare kabisa kila mtu JF ni wa muhimu..Kwa kweli huwa najisikia huzuni na simanzi mnaposifiana na kutajana majina eti ndio waliowakuna kwa hoja.........na kusahau kuwa hata kama hatuna Point lakini tunasaidia Kupump threads zenu...........haya Bhanaaa.................!!!! Najuta kwanini nilisoma Post hii inaubaguzi sana..........
thank u too for being there for her...Wow! Shukrani sana sista geniveros..
Walahi tunafarijika sana kuona mpo watu ambao mko happy for us!
Tunakupenda sana Sista! Shukrani sana kwa kututakia kheri na kututia moyo..
Pamoja na kushusha simazi yangu......Lakini kwa ujumla Threads za aina hii huwa zinawabagua Watu humu ndani..........Ungetushukuru wote bila kutaja majina ingekuwa bora zaidi........Aaaaaaahh hapana Mkuu sio hivyo bhana! Hujaona paragraph ya kwanza kabisa nimeshukuru kila mtu na kudeclare kabisa kila mtu JF ni wa muhimu..
Nathamini sana sapoti yako Mkuu MJINI CHAI
Insha allah naamini Mwenyezi Mungu ataleta kheri tutafikia malengo tuliyonayo mioyoni..thank u too for being there for her...
hujui tu kiasi gani nampendaga nifah coz I always count on her..
hapa jf wadada wawili nifah na heaven...nawapenda mnooo!
nawaombea sana sana mufike salama...!!
ameen yarabalaaminii!Insha allah naamini Mwenyezi Mungu ataleta kheri tutafikia malengo tuliyonayo mioyoni..
Nampenda sana Mdogo wako Nifah, sana.. I seriously want to spend the rest of my life with her! Namuomba sana Mwenyezi Mungu kila siku ili hilo litimie..
Sawa Mkuu! Nitazingatia hilo next time.. Nathamini mchango wa kila member..Pamoja na kushusha simazi yangu......Lakini kwa ujumla Threads za aina hii huwa zinawabagua Watu humu ndani..........Ungetushukuru wote bila kutaja majina ingekuwa bora zaidi........