The Bold: Shukrani Wakuu

Mkuu The bold Sina hata chakusema zaidi ya kukuombea mafanikio zaidi, ur very bright katika uandishi, kusoma na kuelewa vitu. Hicho ni kipaji na Mungu akujalie baraka tele. Nawish siku moja nianze kusoma vitabu vyako. Hongera Nifah umepata bby mwenye hekima kama ulikua hujaolewa basi shikilia hapo.
 
Asante mkuu,natamani nikueleze ni kiasi gani namshukuru Mungu kwa huyu kijana lakini nakosa maneno sahihi ya kusema.
Na nikisema niseme yote nitajaza server!
Anyways...my goals are
:Be with him

:Marry him

😀ie old with him together

Nampenda,daima sitomuacha aende.
Asante.
 
Hebu sema japo kidogo bibie nasie tutiwe nguvu buana
 
Nashukuru sana Mkuu kijana wa leo
Thank you for the support.. Thank you pia kwa kututakia heri mimi na mtoto mzuri..
 

Awwwww this is too sweet.! Thank you mama..
Also wish the same, let's get old together [emoji6]
 
Gud haswa hapo mwishoni....
 
"This is slavery, not to speak one's thought."
- Euripides

# FreeMaxenceMelo
#TheBold'sForMelo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…