The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Mrejesho uko wapi.?

Nionacho mimi ni kuwa ufanisi wenu jukwaani umepungua sana tangu muungano huu, sasa sijui mnataka tujifunze nini... ni kwamba mnateseka.?
 
Hivi hii Couple haikuhusika kuuza furniture za bwana ontario pale Jangid plaza.?
 
Mungu wanguuuuuu! Hivi tumeshafikisha miezi 6 baba?
Umenifanya nikapekue diary na uko sahihi kabisa,hadi tarehe kumbe bado unaikumbuka? Umetisha kichwa wangu.

Well,nashukuru kwa kila kitu mpenzi wangu. Nashukuru kwa kunipenda kiasi ambacho sikuwahi kudhani kama nitakuja kumpata mwanaume wa kunipenda hivi!
Yani unanipenda hadi kila wakati najihisi ni mwenye deni,nitaulipa vipi upendo huu? Naona hakuna njia nzuri zaidi ya kukulipa kwa upendo my sweetlove...yaani ni upendo kwa upendo

Napenda kutumia fursa hii kuwapa ushauri wale wote wanaovutiwa na sisi kama couple.

Jamani mapenzi ya wazi yana changamoto nyingi mnoooo,sio mchezo.
The bold ni mwanaume haswa,mvumilivu kwelikweli.
Kapambana na mengi/wengi sana juu yangu na mapenzi yetu kiujumla.

Kaambiwa na bado anaambiwa mengi,lakini I thank God he is smart enough,hajatetereka ndio maana hadi sasa tuko pamoja.

Achana na maneno ya watu,ni wengi sana hawaamini kama sisi ni wapenzi.
Katika maswali ninayokumbana nayo humu (na hata kwa ndugu jamaa na marafiki wanaoijua ID yangu ) ni "Wewe na Bold ni wapenzi kweli?"
Nawaelewa sana kwanini wananiuliza swali hili. Sababu kuu ni HAWAAMINI kama inawezekana watu mkajuana kupitia mitandao/mtandao na mkapendana kweli.

Jamani,this is serious,sio maigizo wala hakuna chochote kile zaidi ya mapenzi.
Na haya mambo yanawezekana kabisa.

Ila sasa (naomba radhi kwa wale nitakaowakwaza) wale wanaoandika kabisa posts za kutafuta wachumba/wapenzi au wenzi ndio wanaotia ukakasi na kuondolea credibility ya mapenzi ya mitandaoni maana wengi hawako serious.

Haya mambo yanawezekana endapo yakijijenga yenyewe (kama mimi na Bold tulivyopendana)
Hii ndio ile wenzetu wanasema "Let love lead"

Baada ya kusema hayo naomba nihitimishe kwa haya "Nakupenda sana Bold wangu,asante kwa kunipenda namna hii,asante kwa kunivumilia,asante kwa vita zote zile ulizopambana na bado unaendelea kupambana kwa ajili yangu na mapenzi yetu kiujumla.
Mara nyingi huwa nakuambia kila wakati naumiza kichwa nikiwaza nikukeep vipi,natamani nifanye zaidi ya yale uniambiayo ndiyo pekee unayoyahitaji.
Nitakupenda Daima,that's a promise"

Happy six months anniversary my love
Kwahiyo ze bord hujaoa bikira tehe tehe
 
Happy 6 years anniversary mkuu
 
Back
Top Bottom