The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Kumbe Nifah kafuta comment zake zote kwenye huu uzi.

Amaa kweli kishindo cha "Mtaachana tu" ni kizito sana
Kiko wapi?
20230815_093339.jpg
 
Yani nimemuumba Nifah???

The only way ya kuprove naomva uje siku ya harusi... Usikose sasa Mkuu! Na Zawadi..
Mkuu,
Muhimu sio kula kuku robo na roast la nyama, muhimu ni kula ule mzigo kwa "how many years"? Sherehe kitu gani bwana, I believe no regrets..umekula na kubakisha!
 
Back
Top Bottom