Vipi mkuu unavizia Usekretari wa pale Jangid Plaza kama Binti Cheupe ?.…....Maana sio kwa kuhangaika huko kujikomba kwa mwanaume mwenzako
Watu wamwonee wivu wa nini ? Acheni mawazo ya kiboya
Mtu kukosolewa humu Jf Ni kawaida tu
Hahaha eti verified user picha ya babu wa kizungu?! Sasa hiyo verified user imekuwa verified vipi kwa kupata national ID kwa picha fake?!
Sasa yeye na mimi tofauti ni hicho ki verified user na ki check mark?! Acheni usaniii jamani.
Hahaha mniverify na Mimi nianzishe ka bulletin jamani, Mwenzio ONTARIO alikimbizwa humu kama mwizi, we naye umeanza, wananchi wanakuvutia pumzi siku yako itafika utachana ka bulletin.
Hahaha nilikuwa na muonya the bold sio wewe. Ontario alitoa makala akashambuliwa humu, sikujua kama ni wewe, mueleze the bold uzoefu wako kuleta makala humu jf.Wivuuuuuuuuuuu.Ontario anakula maisha wewe endelea kuninginia kwenye tawi la mchicha.
Hahaha nilikuwa na muonya the bold sio wewe. Ontario alitoa makala akashambuliwa humu, sikujua kama ni wewe, mueleze the bold uzoefu wako kuleta makala humu jf.
Hahaha eti wivu nikalie tawi la mchicha utadhani unanifahamu.
Hahaha sina account hata hii tuna share, leo zamu yangu.Rudi kwenye akaunt yako ya zamani Hii parody piga chini
Samahan mkuu HV wewe ni mwanaume,mvulana au msichana??Hahaha eti verified user picha ya babu wa kizungu?! Sasa hiyo verified user imekuwa verified vipi kwa kupata national ID kwa picha fake?!
Sasa yeye na mimi tofauti ni hicho ki verified user na ki check mark?! Acheni usaniii jamani.
Hahaha mniverify na Mimi nianzishe ka bulletin jamani, Mwenzio ONTARIO alikimbizwa humu kama mwizi, we naye umeanza, wananchi wanakuvutia pumzi siku yako itafika utachana ka bulletin.
Hata Data za mshana JR zinaweza kaa humo maana mambo yake ya uchawi yanaweza kaa kwenye saver kweli
Ahhha hhhaa ya mshana yataunguza server yale aahha haa
Jibu kisomi. Hapa ndiyo umemaliza? Mambo ya kubishana hauna hoja yashapitwa na wakati. Watu wenye akili timamu hupingana kwa hoja ila siyo bra bra na ww uonekane umepinga. Nilitegemea km Plagiarism ungeleta ushahidi.Plagiarism as usual
Ukishakuwa verified unaweza kutumia picha yyte unayotaka hata km ni ya katuni. Ukishapeleka vitambulisho vyako halisi hata km utatumia fake name lkn utakuwa verified. Km unataka kuwa verified tuma vitambulisho vyako hata sasa watakuverify ni ww tu.Hahaha eti verified user picha ya babu wa kizungu?! Sasa hiyo verified user imekuwa verified vipi kwa kupata national ID kwa picha fake?!
Sasa yeye na mimi tofauti ni hicho ki verified user na ki check mark?! Acheni usaniii jamani.
Hahaha mniverify na Mimi nianzishe ka bulletin jamani, Mwenzio ONTARIO alikimbizwa humu kama mwizi, we naye umeanza, wananchi wanakuvutia pumzi siku yako itafika utachana ka bulletin.
Unataka ushahidi? Pitia thread ya Forex aliyoigoogle na ku-translate kwa kiswahili bila ku-acknowledge source.Jibu kisomi. Hapa ndiyo umemaliza? Mambo ya kubishana hauna hoja yashapitwa na wakati. Watu wenye akili timamu hupingana kwa hoja ila siyo bra bra na ww uonekane umepinga. Nilitegemea km Plagiarism ungeleta ushahidi.
Keshalambwa block sasa alalamike wapiHizi takataka ungeenda kulalamika huko wasap sio hapa na huko grup hukulazimishwa kuingia ulitoa ela mwenyewe ukalipa kwahyo angalia maisha yako.
Ulitakiwa uiweke ili watu waione na waisome. Kuna articles nying zinazoelezea forex. Ww una maanisha ipi?Unataka ushahidi? Pitia thread ya Forex aliyoigoogle na ku-translate kwa kiswahili bili ku-acknowledge source.
HakikaWakati wa kuanza wengi watakupa moyo.Ila ukifanikiwa wanakugeuka na maneno juu.Waswahili ni viumbe wa kutowaamini kabisa