The Black Swan (Bata maji Mweusi) amefika au bado?

The Black Swan (Bata maji Mweusi) amefika au bado?

Lattafa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2025
Posts
498
Reaction score
731
The Black Swan: The Impact of the Highly Improbable by Nassim Nicholas Taleb

Mwandishi Anasema :

Black swan(Bata maji mweusi) ni matukio nadra saana kutokea, Ila yakitoke huwa ni extreme, makubwa ya kushangaza.

Binadamu hujifunza tu pindi matukio fulani ya kushtukiza yanapotokea.

Mifano,

2008 uchumi kuanguka, Nepal, kuibuka kwa Internet, kuibuka Ai, kifo Cha Jiwe, Raisi mwanamke n.k
Uchambuzi wa mambo kwa Usahihi na kujipanga sio kinga ya Black swan.

Watu hufikiri wanajua yajayo na namna ya kukabili mambo, Ila ni kujifariji tu(cognitive bias)
Kujipanga kikamilifu kila nyanja kusikundanganye eti Tukio Moja kubwa haliwezi kuvuruga mpangilio mzima.

Black swan hutela matokeo yasiyo tarajiwa japo tahadhari zote zilizingatiwa.

Ushauri wa Mwandishi :
  • kuwa Ngangari muda wote na si kuwa Lainilayni.
  • Kujipanga saana ndio kutabiri uwezekano wa kutokea ya kutokea.
  • Jitahidi "kuchukuliwa Poa" huenda ndio msaada kuliko "kujipanga sana"

Black swan ni kuwa "Yasiyo Tabirika" siyo kuwa hayawezekani kutokea, bali "HAYAEPUKIKI"

Tarehe 29 October Kuna minong'ono kuwa Black Swan Ataonekana.

Ila ukweli ni kuwa hakuna Ajuae siku wala Saa ya kuja Black Swan.
Ila Black Swan ujio wake ni Lazima.
 
1758365294460.jpeg
 
Sababu za maandamano zinatakiwa kua strong na kubeba watu wote bila kujali dini zao au vyama vyao Je sababu strong zimepatikana wananchi wa vijijini wameeleweshwa na wameelimika juu ya maandamano maana yatakiwa kua nchi zima
 
Kipindi Magufuli alikufa walifurahi kweli,
Na wakatetea apewe uongozi, na waksema mzee yule ni mzee wao, na sio mshamba mshamba

Leo hii wanalia?
 
Sababu za maandamano zinatakiwa kua strong na kubeba watu wote bila kujali dini zao au vyama vyao Je sababu strong zimepatikana wananchi wa vijijini wameeleweshwa na wameelimika juu ya maandamano maana yatakiwa kua nchi zima
Ujio wa Black Swan hauna maandalizi wala utabiri huwa anafika tu paap!
 
Back
Top Bottom