The bitter truth | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The bitter truth

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by TODO, Jul 15, 2011.

 1. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Most First class students get technical seats, some become Doctors , Engineers and some Accountants etc

  The Second Class pass and then pass MBA become Administrators,Doctors and control the First class

  The Third class pass enter politics and become Ministers and control both of the above

  Last but not the least , The Failures join business and control all the above.

  I have found this message somewhere lets the JF community discuss and link it to the growth of our country
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Most First class students, pass their MBA, Enter politics, through polotics they join business and become controllerz of everything!!
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hackneyed and loathsome thread and has nothing to do with Great Thinkers. You better share it with with your fellow minuscule minds. JF is rather a platform for serious and even sensible matters.
   
 4. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Inaonekana unapenda sana kujisomea, kama ndivyo tafuta kitabu cha Rich Dad Poor Dad.-"Go to school, get good grade and you will get a high paying job". Kimsingi hizi mentality ndio zinatuharibu na mfumo wetu wa elimu unashindwa kumuandaa mtu atakayeweza kujiajiri mwenyewe kama ambavyo zilimwathiri KIYOSAKI mwenyewe.

  The observation that, there are successful business people without much of formal education has led some observers to conclude that education is of no value in starting and developing a successful business. However this is not the case. The propensity to start the business among the educated is influenced by among others, other career opportunities and the value placed on starting one's business in a particular context.

  Many of those who start a business without much education start with very small informal activities. They manage to do that because the opportunity cost of their labour is quite low and no not have the status to loose, They succeed not because they lack education, rather lack of education provides a context that does not hinder them from starting the journey into running the successful business.

  Kuna list ndefu sana ya wasomi wanaofanya biashara na wamefanikiwa mno. Kama unataka nenda CTI, TPSF, TNBC, na TCCIA ukaangalie CV za watu huko ndio utajua ninachosema
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Uongo mtupu! Wakuu wa idara mbalimbali si wasomi? Akina mengi, manji, rostam si wasomi? Hii ilipostiwa huko jokes, na irudi huko maana haina ukweli
   
 6. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Naomba niwasaidie wana JF mm ni mojawapo ya wafanyabiashara nina mafanikio kwa kadri ninavyojiona refer on when was starting my buz abt 30 yrs ago, was f4 but recently started B.com then am taking Mba. Ni mawazo potofu kuwa wajasiliamali sio wasomi na kuwa hawawezi soma..
   
 7. I

  Igembe Nsabo Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukiongelea matajiri wengi wa Tanzania ambao wamepata utajiri wao kutokana na imani za USHIRIKINA kama ndugu zangu WAKINGA wa IRINGA ambao wako Kariakoo, Mbeya au Tunduma ambao wamepata utajiri wao kutokana na imani za kishirikina ni sawa, hawa watu hawahitaji elimu, ingawaje anaweza kuwa Vipanga, hata kama hawajasoma, kwani IQ inategemea unaipima kwa nini! , watu hawa wao imani yao ndio mtaji wao, na imani hiyo ndio inawaletea mafanikio. Vilevile, vipanga wengi hawapendi kujiajiri wao hupenda kuajiriwa ili walipwe mshahara na hao wajasiliamari.

  Kama anasoma vitabu vya akina Robert Kiyosaki, vyenyewe ndio vinasema hivyo, Ili uwe TAJIRI huhitaji kufahamu mambo mengi ya formal schools ila unahitaji kufahamu masuala ya Biashara, mfano uwe na Financial inteligency, management skills kwani vitu kama hivi havifundishwi kwenye mashule yetu na ili uvipate unahitaji kukaa na watu wanaovifahamu au kufanya kazi nao ujifunze. Kufahamu haya huhitaji kuwa kipanga, ila inahitaji tu kuwa na imani au uthubutu wa kuwa inawezekana (GUTs).
   
 8. l

  last-one New Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  elimu inahitajika sana ktk biashara,hasa pale biashara inapokuwa kubwa.kuna jamaa katutaja sisi wakinga.nataka kumwambia mm nina BA.economics nimechagua kufanya biashara kuliko kumfanyia mtu kazi.wakinga wa kizazi hiki wanasoma na kujiendeleza kielimu.
   
Loading...