The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

tafuta simu yenye snapdragon 625 au 450 au kirin 650 series kwa hio budget. kwa huawei ni simu kama

-Huawei Nova
-Honor 6x (Huawei GR5) ya 2017
Nina swali lingine hapa nataka mnunulia laptop yenye qualifications poa namnunulia dogo ya shule aisee..ila nina kama 200 hivi ama mia mbili nakitu hapo sipati?nakama napata aina gani
 
Nina swali lingine hapa nataka mnunulia laptop yenye qualifications poa namnunulia dogo ya shule aisee..ila nina kama 200 hivi ama mia mbili nakitu hapo sipati?nakama napata aina gani
unapata za mtumba, anasoma kitu gani huyo dogo?
 
Anasoma Law napata ya specs gani?
za core 2 duo atapata kwa hio bei, ila ajiandae kisaikolojia kutumia laptop inayopata moto kila mara na isiotunza chaji sana.

au atafute laptop za atom, zitakuwa slow sana lakini itatunza chaji na haipati moto.
 
mi natumia iphone lakini sijawahi kupata picha nzuri usiku,,sijui wenzangu hili kwenu vipi
 
za core 2 duo atapata kwa hio bei, ila ajiandae kisaikolojia kutumia laptop inayopata moto kila mara na isiotunza chaji sana.

au atafute laptop za atom, zitakuwa slow sana lakini itatunza chaji na haipati moto.
kwaiyo ambazo hazitapata moto na ziko fresh bei gani?
 
kwa maono yangu iPhone iko poa zaidi kwasababu ni simu yenye ubora zaidi kwa sababu operating system iko tofaut sana ,ila tatizo haipo compatible na maisha ya kibongo app nzuri unalipia pia ipo compatible na PC kwenye kuingiza baadh ya vitu
 
vigezo vyako vya youtube tu
 
Mkuu naomba kujua ubora na bei yake kwa sasa ya lg v10 japo imepitwa na wakati sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…