The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

mimi nilichogundua watu hawafahamu simu kabisa mtu anashindwa kucheki hata Camera Specs tuu kwenye google nawapa Camera Specs za simu zote mbili muone
 
Wakuu naombeni kujua kioo cha samsung grand prime bei yake kwa sasa ni shilingi ngap za kitanzania.
 
Mp za camera zisikubabaishe sana mkuu. Iphone na Samsung unakuta wana 12/8MP lakini wana technology kubwa katika swala la image processing.

Swala la battery pia inategemeana na jinsi chips za processor na OS zinavyotumia energy.
 
hii huna haja na dex, kama una smart tv huhitaji kifaa chochote utaangalia kwa kutumia miracast au widi, na kama una tv ya kawaida unanunua dongle ya miracast ya hdmi then unaichomeka kwenye tv halafu tv yako itakuwa na wifi ya kuconect simu.
 
Sasa mimi najipanga kununua Xiaomi note 4x vipi hapo wakuu
 
starehe gharama
 
Huawei ipi ni kali ya walui nikiwa na laki nne ?@Chief-Mkwawa
 
tafuta simu yenye snapdragon 625 au 450 au kirin 650 series kwa hio budget. kwa huawei ni simu kama

-Huawei Nova
-Honor 6x (Huawei GR5) ya 2017
Mkuu huawei honor 6X ya 2017 kwa hela hyo hawezi kupata
 
Over my dead body! 2.7m hii ni ada kwa ajili ya vijana wangu wawili kwa mwaka mmoja. Siwezi kunua. Labda niwe nimevuta
Kuna wengine pia hyo ada hata ya laki 5 hawaiwezi wanasomesha shule za kata!! So ts a matter of capital!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…