The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

Mkuu hii ONE PLUS 5T mpya kwa bongo naweza pata kwa shs ngapi na maduka yapi?
 
Mkuu Mimi sijatoa hoja kwa mapenzi binafsi nimetumia reference ya tech radar ambayo pengine ni reliable kuliko wengine labda mkuu Chief-Mkwawa atuambie kwake ni forum ipi ipo more accurate
Mkuu hii tech radar naisikia leo ngoja nijiridhishe na gsm arena maana naikubali sana ktk haya mambo ya uchambuzi wa simu[emoji15]
 
Mkuu hii ONE PLUS 5T mpya kwa bongo naweza pata kwa shs ngapi na maduka yapi?
imezinduliwa juz juz tu ndugu yangu, binafsi bado sijafanya utafiti kibongo bongo inapatikana wapi..ila kuna wadau hapa waweza kuwa na insight ya upatikanaji wake...brother Lusungo msaaada tafadhali .
 
Mkuu nami sifahamu na hata kwenye sites za nje sizioni naona mzigo bado haujaingia sokoni
 
honest huawei mate 10 pro ni the bst wanajua sana nime kuwa mpenz wa mate series wako vizur japo napenda os ya iphone
 
usifananishe IOS na vitu i
vya kijinga Android Security ipo chini sana hata Camera Quality Samsung ni hewa kabisa Samsung kwa jina lingine ni simu za wadada Selfie ina filter zakutosha halafu simu Android ukinunua leo after 2 Years imepitwa na wakati tofauti Iphone 5s mpaka now inapokea Latest Ios Version
 
hata Ram na Processor za Android ni hewa simu ina Ram mpaka 6 Gb unanunua simu ina Apps 60 ya nini Iphone hakuna huo ujinga
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] umeishawahi kuona kuna mdada kapiga selfie chooni na samasung,jibu unalo ni simu gani zinapendwa na wadada na zinawapendeza.
 
Ios flagship 2017 ina ram 3gb yanini wakati hata 1gb ya ios ni efficient???

12mp za camera za nini wakati 5mp ni safi tu??

Android ni simu kubwa sana.haiwezi pewa 6.2 inch display na ram ya kichovu.
 
Mkuu hii ONE PLUS 5T mpya kwa bongo naweza pata kwa shs ngapi na maduka yapi?

imezinduliwa juz juz tu ndugu yangu, binafsi bado sijafanya utafiti kibongo bongo inapatikana wapi..ila kuna wadau hapa waweza kuwa na insight ya upatikanaji wake...brother Lusungo msaaada tafadhali .

Mkuu nami sifahamu na hata kwenye sites za nje sizioni naona mzigo bado haujaingia sokoni
Nimeibamba kwa hawa jamaa huko zoom...

One Plus 5 in Tanzania | ZoomTanzania
 
kwa mtazamo wangu my top 3 ingekuwa hiv
1. LG V30
2. samsung s8
3. Google pxl 2 xl

ila for the best budget phone ONE PLUS 5T is the best.
We thinking the same kaka
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] umeishawahi kuona kuna mdada kapiga selfie chooni na samasung,jibu unalo ni simu gani zinapendwa na wadada na zinawapendeza.

baada ya kuona samsung ni hewa wanahama taratibu nimetumia S7 edge ni hewa kabisa bora hata Iphone 6 hamna kitu
 
Iphone 6 iwe bora kwa s7 unaota wewe.

Embu weka hata kigezo kimoja ulichokitumia.
 
price please! je bongo zipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…