Ndo nini hicho? Kama unajua kutongoza alafu hujui kutafuta gesti mpaka uje jf basi hapo juu hauko sawa
Kama upo pande za town jisogeze pande ya Mrina na Shivaz,kuna guest house za kutosha...yaani za maeneo hizo ni kwere arifu,ni shidaaa
Washika dau A town,
Nipo Arusha tangu Jana jioni kwa ajili ya shughuli ya kifamilia, nimefikia nyumbani kwa mmoja wa wanafamilia, tayari nimeshamvaa demu mkali ambae kama Mimi nae yuko hapa A- town kwa ajili ya hii shughuli , na kuna kila dalili kwamba nafanikiwa kumng'oa, kwa vile najua JF ni kila kitu, washika dau wa Arusha mliopo humu jf naomba mnielekeze mahali ilipo nyumba ya wageni wa muda mfupi iliyo nzuri nikajipumzishe
Asanteni.
aziniye na mwanamke hana akili kabisa.....uchafu