The Best Architects in East Africa

The Best Architects in East Africa

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,729
Habari wana JF.
Natafuta architects wataalam zaidi EA. Architects wengi huchora ramani za kukariri wanazzijua wao, natafuta architect amabae ninaweza kaa naye nikampa idea yangu na yeye aweze ku translate hio idea kuwa mchoro wa jengo nalotaka!

Nataka kujenga kwanza a modern minimalist residential house!

Msaada wenu please.
 
hii ni namba ya archtect, utafurahi mwenyewe. 0688724857
 
mkuu upo mkoa gani? gharama utaziweza? najua umejipanga sina shaka nawe mijue uko wap
 
eh thanks wakuu! Response nzuri. Nipo hapahapa Tanzania option. Kumlipia nauli architect yoyote mzuri kutoka mkoa mmoja hadi mwingine haopa Tz sio tatizo.

asanteni sana.
 
Back
Top Bottom