The beauty of living nature

The beauty of living nature

1743614845804.jpg
 
Asante sana kwa picha nzuri sana, ningefurahi sana wanasiasa wa nchi yetu wakatilia mkazo upandaji wa Miti na kutunza mazingira na vyanzo vya maji. Naona kabisa hata kule kijijini kuna mito nilikuwa naiona imejaa sana nilipo kuwa mtoto lakini sasa maji sasa yanaisha kabisa. Hata Mto Ruaha Mkuu nao unateketea kwakasi kubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom