The beauty of living nature

The beauty of living nature

FB_IMG_1743543998844.jpg
 
MSTAFELI NA UGONJWA WA UKOMA PAMOJA NA SARATANI MBALIMBALI

Juisi ya tunda la mti huu hutumika kutibu
Ukoma (leprosy).

Majani haya ya mstafeli yamethibitika siyo kutibu
saratani au kansa ya tezi dume bali na aina
nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni
pamoja na:

1. Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na sratani nyingine nyingi.

Majani ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali mwilini na hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.
Majani ya mstafeli yanatibu pia:

1. Kisukari
2. Gout (maumivu ya jongo)
3. Maumivu ya mgongo
4. Yanaongeza kinga ya mwili
5. Yanaimarisha afya ya tumbo kwa ujumla
6. Kufunga choo
7. Msongo wa mawazo (stress)
8. Yanaimarisha afya ya nywele
9. Yanaimarisha afya kwenye mfumo wa upumuwaji
10. Yanaongeza afya ya ngozi
11. Mazuri kwa afya ya moyo
12. Yanadhibiti homa na kutuliza joto la mwili
13. Dawa nzuri kwa matatizo mengi ya uzazi
14. Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa
15. Hutibu jipu na vivimbe
16. Hudhibiti ukuwaji wa bakteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe
17. Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku

Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi hawaifahamu …

Kuna wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna wakati watu wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu zaidi ya kukosa tu maarifa Kile nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli kutibu kansa uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya Marekani lakini matokeo yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!

Kwanini hawakutaka kutangaza kwa watu?
Hakuna mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na matokeo hayo bila kutangaza kwa watu. Hata hivyo wengi wanaamini ni kutokana na vipimo na matibabu ya ugonjwa huu kuwa ni dili kubwa kwa viwanda vya madawa na biashara kubwa kote duniani.

Sababu kuweza kutibu ugonjwa mkubwa hivyo (kwa mjibu wa maoni yao) kwa kutumia mmea rahisi hivyo kupatikana ni jambo lisilo na faida.

Matatizo mengi ya binadamu chanzo chake kikuu cha matatizo hayo ni hela.Pamoja na hayo Mungu yupo na hatatuacha watu wote tuangamie kijinga hivyo. Wachache atatuokoa tu kwa namna yoyote. Hivyo watu wengi tayari wameanza kugeuka upande huu wa pili na tayari wanaona faida zake.
Utatumiaje majani ya mstafeli kama dawa?

Namna nzuri zaidi na ili kujihakikishia unapata faida zake kwa kiwango cha juu kabisa ni kutumia juisi freshi ya majani haya.

Unachohitaji ni kuwa na blenda ya umeme, maji na majani mabichi ya mstafeli.

Tengeneza juisi yako tuseme majani 12 unaweza kutengeneza juisi vikombe viwili (nusu lita) na unywe kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara 2 kila nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi na cha jioni kwa mwezi mmoja mpaka miwili hata mitatu kama tatizo lilikuwa limedumu miaka mingi.

AU

Chukua majani Kilo 1 halafu yasage vizuri kabisa kisha weka maji Lita 5 koroga vizuri, Hifadhi kwenye Friji(Jokofu) ili isiharibike. Mgonjwa anywe kikombe cha chai kutwa mara 2 au mara 3 kulingana na nafasi yake.

Tengeneza chai kutokana na majani freshi ya mstafeli na unywe kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa mwezi mmoja. Inashauriwa hiyo chai unywe nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi, mchana na jioni.

Kama hutaweza kupata majani freshi (mabichi) ya mti wa mstafeli unaweza kutumia majani
makavu ya mti huu yaliyo katika mfumo wa unga kwenye maduka ya dawa za asili sehemu nyingi hapa Tanzania.

Kwenye hiyo chai ya majani ya mstafeli ndani yake weka vitu hivi pekee; maji ya chai, majani ya mstafeli na asali usiongeze majani mengine ya chai humo.

Pia inashauriwa utengeneze chai ya kutosha kuitumia kutwa nzima yaani uchemshe
vikombe vitatu kwa wakati mmoja na uinywe kikombe kimoja kutwa mara tatu. Ni dawa nzuri kwa kansa karibu zote pia inaondoa uvimbe wa aina yoyote.

Mungu akuponye .

Yeremia 30:17
[17]Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA..

Asili huponya
FB_IMG_1743544933586.jpg
 
Asili huponyaView attachment 3290662
Excellent...be Blessed brother Mshana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom