The beautiful Usambara mountains

The beautiful Usambara mountains

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365
2011-12-06 13.46.18.jpg

This house is in Tema village in Lushoto district. It belonged to some powerful German administrative Guru. After independence when the owner left, he gave it to his local and trusted estate worker. Word of mouth has it that the then colonial governor (a german) used to come and rest in this house

2011-05-28 15.06.40.jpg

Free flowing rivers are a constant attraction on Usambara mountains


2011-06-09 09.47.55.jpg

Some tree farms for firewood and building poles


2011-06-21 10.11.01.jpg

drink when you are thirsty, very refreshing!!!!!


2011-06-22 12.21.45.jpg

Of course you can always have a family picnic deep in the forests!!!!!
 
napapenda sana lushoto kupo so natural,nitakuja kwenda tena kupatembelea.
 
Lol kwetu pazuri jamani ila kuna wakuja wanaiharibu lushoto yetu na viongozi waliopo kule vision yao ni ndogo kama makalio ya mbu. wanafyeka misitu yote ya asili na kugawa hovyo viwanja mji unakosa sura na mpangilio hasa lushoto mjini, dochi, ubiri,kitivo, chakichaki, njia ya kwenda gare njia ya kwenda view point nk nk! kuna ujinga mwingi sana unaendelea lushoto kiasi kwamba hatua za haraka zisipochukuliwa miaka michache ijayo lushoto tuijuayo itabaki historia
 
Tanzania ni nchi nzuri sana na yenye vitu vingi vya asili, tatizo ni sisi wenyewe
 
Onga tate !
Lushoto ni pazuri zaidi hasa kwa tuliobahatika kufika Shume, Mlalo, Mlola. Acha kabisa unakunywa chai hata km ni ya Moto utajua baada yakumaliza kunywa kukuta ulimi wako unatoa ngozi.
 
Kumbe ndo sababu ya Mr Mkapa kuamua kusettle huku.
 
Onga tate !
Lushoto ni pazuri zaidi hasa kwa tuliobahatika kufika Shume, Mlalo, Mlola. Acha kabisa unakunywa chai hata km ni ya Moto utajua baada yakumaliza kunywa kukuta ulimi wako unatoa ngozi.
Kennedy,
sina mbui mghoshi, kaibu tate!!!!

shukran sana
 
Last edited by a moderator:
Tanzania ni nchi nzuri sana na yenye vitu vingi vya asili, tatizo ni sisi wenyewe
HARUFU,
Lushoto ni mahali pazuri sana. Infact Germans walitaka kupafanya makao makuu ya Tanganyika. It is the only district town iliyo na a superb colonial State House inayofanya kazi yake hadi sasa
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndo sababu ya Mr Mkapa kuamua kusettle huku.
NDAGLA, mheshiwa Mkapa ka-settle mahali pazuri sana, ukifika utapapenda. Pana miti mingi sana na bonde zuri la maji jirani
 
Last edited by a moderator:
HARUFU,
Lushoto ni mahali pazuri sana. Infact Germans walitaka kupafanya makao makuu ya Tanganyika. It is the only district town iliyo na a superb colonial State House inayofanya kazi yake hadi sasa

Jambo ile garden yake ya kijani kitupu kinachovutia mno haitunzwi wala kuhudumiwa kama zamani
 
Last edited by a moderator:
Lushoto ina hazina kubwa sana ya wanyama wadudu na mimea ambavyo havipatikani popote duniani misitu ya shume na kwingineno imebeba hii hazina lakini inatoweka kwa ukataji hovyo wa miti
 
Lushoto ina hazina kubwa sana ya wanyama wadudu na mimea ambavyo havipatikani popote duniani misitu ya shume na kwingineno imebeba hii hazina lakini inatoweka kwa ukataji hovyo wa miti

msitu kama wa ndelemai sasa ni vipande vipande kwa kweli ni serious, hata ule wa shagayu kuna human activities kibao, ni very painful kuona uharibifu unaofanyika
 
Back
Top Bottom